Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
ENEO la Isyesye nyumbani kwa Dr Seria Masole Shonyela mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole. Wametumwa vijana wa boda boda kama thelasini na pia wamevamia nyumbani kwa akina Dr Seria na wamefanyq uharibibu kwa kuvunja vioo vya gari na kuipindua juu chini.
Huyu mgombea HAKUBALIKI Mbeya Jiji ndipo akakimbilia huku Uyole alikogawanya jimbo kwa hila kupitia Tume ya Uchaguzi. Lakini hata huku alikodhania ni mteremko nako HAKUBALIKI