GE2025 Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa

GE2025 Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
IMG-20250804-WA0005.jpg
 
View attachment 3430518

ENEO la Isyesye nyumbani kwa Dr Seria Masole Shonyela mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole. Wametumwa vijana wa boda boda kama thelasini na pia wamevamia nyumbani kwa akina Dr Seria na wamefanyq uharibibu kwa kuvunja vioo vya gari na kuipindua juu chini.

Huyu mgombea HAKUBALIKI Mbeya Jiji ndipo akakimbilia huku Uyole alikogawanya jimbo kwa hila kupitia Tume ya Uchaguzi. Lakini hata huku alikodhania ni mteremko nako HAKUBALIKI
👀🙄🤔💬
 
Hao ni Yanga wanafanyiana hivyo. Je Simba akishiriki Mashindano itakwaje? Si ndio yaleyale ya Yanga kushinda 5-1?
 
Millions of dollars flow through the Tulia Trust. Where does Tulia get this money? And in what registry is the Tulia Trust registered? After all, a trust must be registered as a legal entity to receive and spend funds. In which Tanzanian document can I find information about the official registration and the Tulia Trust number?
 
Dr wa Isyesye aachane na Ubunge maana anapambana na nguvu kubwa sana inaonyesha wakikaa kwenye kura atapita ndio maana yanatokea hayo mkoa wetu wahuni wanauharibu.
Wewe mpumbavu njoo hapa untethered tena dada yako, katoswa huko kabakia mbunge wa kawaida. Nyambaaaaaf
 
Wewe mpumbavu njoo hapa untethered tena dada yako, katoswa huko kabakia mbunge wa kawaida. Nyambaaaaaf
Daah aisee nilivyoandika Dr wa Isyesye ulikua ujaelewa kuwa nipo tofauti nae umesoma bila kufikirisha ubongo wako mimi niwe pamoja na hao watu kweli...hao watu walipitisha kodi kubwa kwenye magari kazi imekua ngumu mimi niwe upande wao mazee aiaee..
 
Sorry Mkuu, niliporudia kusoma nimekuelewa
 
Back
Top Bottom