Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Angekuwa anakubalika asingetuma vijana kushambulia gari la Dr Seria. Na hii ni mara ya 2.Uongo ilo umesema wewe Dr Tulia ana kubalika kuliko kawaida
Kwanza Jumamosi walishambulia gari binafsi ya Dr Seria. Halafu mchana wakawatuma TAKUKURU kum- harass.
Kama Tulia angekuwa anakubalika asingetumia nguvu za dola kama TAKUKURU na vikundi vya vijana wavuta bangi.
Kama unamkubali wewe Mwachiluwi na familia yako sawa, lakini mbunge wenu hatakiwi