GE2025 Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa

GE2025 Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uongo ilo umesema wewe Dr Tulia ana kubalika kuliko kawaida
Hakuna mpumbavu wa kuchagua wanawake ...tulia awezi kuchaguliwa na wananchi hata asilimia 5% ya kura awezi kupata ndiyo maana yupo upande wa samia ...wote wasio kubalika na wananchi wanasimama na samia kwa sababu wanategemea uhuni kuwa fanikicha kubaki vitini siyo democracy
 
Inatakiwa akagombee kwao Rungwe maana huyu ni mtoto wa Mabonde au Bulyaga kati ya hizo sehemu mbili..
Tulia hawezi kuwa wa Mabonde.

Wanyakyusa wa Mabonde kina Mwalusanya na Mwambulukutu tunawafahamu vizuri.

Kuna minong'ono mikali mno kutoka kwa wazee wa Rungwe hata Kyela kuhusu ukoo wa huyu bidada.​
 
View attachment 3430518

ENEO la isyesye nyumbani kwa Dr Seria Masole Shonyela mgombea ubunge wa Jimbo la uyole. Wametumwa vijana wa boda boda kama thelasini na pia wamevamia nyumbani kwa akina Dr Seria na wamefanyq uharibibu kwa kuvunja vioo vya gari na kuipindua juu chini.

Huyu mgombea HAKUBALIKI Mbeya Jiji ndipo akakimbilia huku Uyole alikogawanya jimbo kwa hila kupitia Tume ya Uchaguzi. Lakini hata huku alikodhania ni mteremko nako HAKUBALIKI
Hawa vijana sio waalifu kama waalifu wengine police wanafanya kazi gani mtu kama hakubaliki ndo unaenda kwake kuaribu Mali zake POLICE wafanye kazi yao hao ni waalifu
 
Tulia HAKUBALIKI Mbeya na hata mwaka 2020 hakushinda kihalali. Ni mmtu aliwekwa tu na Magufuli.

Hata mwaka huu ni Samia tu ndiyo atamuweka, lakini Tulia hawezi kumzidi huyu mgombea Dr Seria. Hawezi kumpata kwa lolote. Kuanzia kisomo, mvuto (appearance), ushawishi na uzawa.

Huyu Seria ni mzawa wa Isyesye na sasa wenye mji wanataka mtu wao na siyo mamluki kutoka Tukuyu
Mimi hapo ni home na sisi Wasafwa hatuwezi kutawaliwa na mnyakyusa wanazarau sana huyo Tulia kwanini ajaenda Busokelo uko
 
Kosa letu kubwa CCM ni kuacha kusikiliza wananchi na kuendekeza rushwa/polisi(kikundi kile cha wauaji)/TISS (kikundi cha wauaji) kama msingi wa kushinda uchauzi
CCM tunazingua wananchi tuwapelekee wagombea wanao kubalika Tulia akubaliki kwanza mtu mwenye zarau sana
 
Tulia HAKUBALIKI Mbeya na hata mwaka 2020 hakushinda kihalali. Ni mmtu aliwekwa tu na Magufuli.

Hata mwaka huu ni Samia tu ndiyo atamuweka, lakini Tulia hawezi kumzidi huyu mgombea Dr Seria. Hawezi kumpata kwa lolote. Kuanzia kisomo, mvuto (appearance), ushawishi na uzawa.

Huyu Seria ni mzawa wa Isyesye na sasa wenye mji wanataka mtu wao na siyo mamluki kutoka Tukuyu
Nawaamini mbeya huwa hamna kazi ndogo
 
Back
Top Bottom