GE2025 Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tulia alishajua huu mgawanyo wa majimbo muda mrefu,hivyo alianza kuteka maeneo ya uyole miaka mitano iliyopita.....ni ngumu kushindwa.
Usidanganyike na wale wajinga wake wa Tulia Trust ukadhani Tulia anakubalika. Kwanza hata kwenye maendeleo hebu nitajie kaisaidia nini Mbeya pamoja na nafasi yake kama Spika wa Bunge?? Angalia mandhari ya Jiji inavyoharibika kwa kutegemea barabara moja kwa magari makubwa na madogo.

Yeye analeta mashindano ya ngoma na marathon halafu wajinga mnampigia makofi. Nyambaaaf
 
Ni kweli uzi huu hapa wa 2023;-

 
Dr wa Isyesye aachane na Ubunge maana anapambana na nguvu kubwa sana inaonyesha wakikaa kwenye kura atapita ndio maana yanatokea hayo mkoa wetu wahuni wanauharibu.
Kwanini aachane? Au na wewe Msauzi wa Isanga ni shabiki wa Tulia?
 
Hivi Tulia anaogopa nini kwenda kugombea Busokelo au Rungwe 😁😁​
Huko kwao UNYAKYUSANI hathubutu. Wale malafyale hawakubali kutawaliwa na mwanamke. Isitoshe tabia na falsafa zake haziendani na WANYAKYUSA. Hawa jamaa ni watu wa msimamo kama Boniface Mwabukusi
 
Tulia hawezi kuwa wa Mabonde.

Wanyakyusa wa Mabonde kina Mwalusanya na Mwambulukutu tunawafahamu vizuri.

Kuna minong'ono mikali mno kutoka kwa wazee wa Rungwe hata Kyela kuhusu ukoo wa huyu bidada.​
Weka huo ubuyu wa wazee hapa tumjue vizuri. Anaweza kuwa Mbalazi huyu ngongoti!!
 
Hawa vijana sio waalifu kama waalifu wengine police wanafanya kazi gani mtu kama hakubaliki ndo unaenda kwake kuaribu Mali zake POLICE wafanye kazi yao hao ni waalifu
Polisi wanachukua amri kutoka kwake Tulia
 
Mimi hapo ni home na sisi Wasafwa hatuwezi kutawaliwa na mnyakyusa wanazarau sana huyo Tulia kwanini ajaenda Busokelo uko
Mwagona holowane, hata mimi ni hukohuko ila kwa sasa jimbo la Nbeya Mjini
 
Hivi ile tulia Trust uwa ina mchongo gani?
 
Mi nimeangalia hongo zinazopita mkuu
 
Kama tunafanyiana wenyewe ndani ya CCM, nje ya CCM wapinzani tutawamaliza mchana mchana na hakuna wa kutuuliza.
 
😁 CCM wanachekesha mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…