Kuna umbwa moja imesema odinga kajificha.
 
Mkuu hongera Sana kwa hii" post" yako, nimeipenda Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Ni jambo lenye kutazamisha sana, maana sasa tuna katiba, ambayo wengi wana imani kwamba siyo nzuri. Lkn pamoja na mapungufu yake, ni kiwango kidogo sana ambacho tunaifuata. Twaweza sema, compliance Ni ndogo sana. Sasa swali langu ni kama katiba mpya itabadili pia mtazamo wa viongozi wetu kuwa na utamaduni wa kuheshimu katiba.
 
Kuna mmoja kule kwenye jukwaa la kilimo kasema bei huko kenya imeshuka. Asa sijajua kuwa haju
 
Ukisema ivyo unakosea,serikali wanatakiwa wadhibiti bei kwenye biashara zote
 
Jikusanye na wazazi wako,ndugu,jamaa muingie barabarani
 
wewe umesikia kenya MKIKUYU NA MKAMBA unga wanauziwa bei tofauti??? kwamba ukienda sokoni kununua mchele unaulizwa kabila?? yani watu kama wew ndo wanadhirisha wabongo hatujitambui kabisaa.. UGUMU wa maisha hauchagui kabila wala dini.
Ukitafuta waandamanaji humo utakuta ni wale waliompigia kura raila
 
Hivi Polisi wa Kenya ndio wajeda wa Kenya, ufafanuzi please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…