Maandamano yao sio kuharibu mali, ni kutuma mesejiRuto mwenyewe ni mtoto wa Kihuni, wakianza kuharibu mali za watu atarudisha askari nyuma na kuachia wafuasi wake nao waingie mtaani kujilinda.
Hii mbona ngoma ni nyepesi mno?
Gachagua hatakubaliRutto akubali kuunda serikali ya mseto na Raila, migogoro yote itakwisha
Kama ni ya kutuma ujumbe basi watawaacha waendelee kutuma ujumbe waoMaandamano yao sio kuharibu mali, ni kutuma meseji
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwani Gachagua ni more powerful kuliko Boss wake?
Yapi!?
Soma hayo uliyoandika alafu oanisha na safari tuliyo nayo sasa!.... wafanyabiashara wa kihindi, wajemi, kiarabu, tangu 1995,walitaka kuigeuza nchi yetu shamba la bibi, ... maana wafanyabiashara wakiitamani bandari
Najua nilichoandika ndiyo maana nikakuuliza yapi,yaani uainisheSoma hayo uliyoandika alafu oanisha na safari tuliyo nayo sasa!.
Ndo jamaa wale eti wanataka kuleta ujimbo hapa kwetu
wa hapa wajaja maandamano ni Mwanza siyo Moshi au Tarime
Kabila lake Lina votters 50% ya kura za urais alizopata Odii?