Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023
Hapa ruto anakazi sana aisee,na hapo bado watazidi kuongezeka.

Siku bongo tukiweza hivi,hawa wanasiasa wetu watatuheshimu sana.
JUmatatu ijayo polisi watakuwa na sababu ipi ya kuyazuia wakati kwao ni notice tu Ili kutoa ulinzi? Siku hiyo kutakuwa wabunge, ma seneta, ma governor na vigogo zaidi ndani ya nyumba.
 
Baada ya Ruto kupinga ushoga kwa kujifichia kwenye kivuli cha mahakamani huku akiwa tayari ashalamba pesa za mashoga, naona wamemuinulia Odinga, kwa kumuonyesha saver ya mchakato mzima wa wizi wa kura, mashoga wapo nyuma ya Odinga kuhakikisha Ruto anatoka madarakani Ili Odinga achukue waruhushu ushoga Kenya.

Odinga kula pesa zao ukishapata tu kiti jifichie kwenye mahakama kuukataa ushoga utaleta laana Kenya.
Ukifatiliaa Nia ya Raila Toka enzi za MOI mpaka uhuru utajuwa Raila shida yake ni kuwa sehemu ya serekali wakati wote HANDSHAKE akisha pata hicho ata wananchi wake anawatelekeza na maandamano yaooo
 
Kenya sio Tanzania, Tanzania haifanani na Kenya hata Nusu wale walishawahi kuchinjana wao kwa wao zilimwagika damu kikaeleweka Mambo haya haya ya uchaguzi, niambie lini Tanzania kilinuka tukachinjana wenyewe kwa wenyewe?
Tuna akili na busara kuliko wakenya. Tunatambua wanasiasa ni walamba asali na wafanya biashara. Yanini tuchinjane kwa ajili ya ambitions zao?

Muda pekee ambapo watanzania huwa wanakiwasha ni pale panapokuwa na madai halali yenye maslahi ya umma, niliwahi kushuhudia vurugu za polisi na wamachinga Mbeya, asikwambie mtu watanzania ni wapole lakini sio waoga.
 
Mimi sipingani na kuwepo kwa katiba mpya lkn wote tumejionea, swali langu ni kwamba kwa hiyo katiba mpya tunayoitaka ndo inawapa uhuru wakenya ya kuichafua hali ya hewa hivi?
Hata Ufaransa wameandamana plus S Africa. Ulewa katiba ya sasa kwanza then na ile itakiwayo. Kenya walichinjana hata kabla ya katiba mpya. So kwao kuandamana na kudai haki ni hulka reagdless of the conatution at hand. Raila mwenyeww aliwekwa ndani na Moi. Alikatwa hadi kipande cha ulimi wakati wa dikteta huyo. Tofauti na sasa ni kwamba polisi wanatuliza badala ya kuua in the name of maalekezo kutoka juu. Isingekuwa katiba mpya Leo ungesikia watu wameuawa.
 
Mimi sipingani na kuwepo kwa katiba mpya lkn wote tumejionea, swali langu ni kwamba kwa hiyo katiba mpya tunayoitaka ndo inawapa uhuru wakenya ya kuichafua hali ya hewa hivi?
Kinachofanyika Kenya siyo uhuru wa katiba mpya. Kinachofanyika kwa sasa inaweza kufanyika nchi yeyote. Hata Egypt walifanya bila katiba mpya.
 
Acha tu!
Naona ni zamu ya Mama Tanzania kupandisha mabega juu walahi!
SA nako kumechina [emoji31]
 
Mimi sipingani na kuwepo kwa katiba mpya lkn wote tumejionea, swali langu ni kwamba kwa hiyo katiba mpya tunayoitaka ndo inawapa uhuru wakenya ya kuichafua hali ya hewa hivi?

Sio kweli, kwa maana hata sasa katiba iliyopo haiheshimiwi, katiba mpya, pamoja na kuboresha mambo mengi, ni kupunguza mamlaka ya viongozi ambayo yana mazara makubwa sana.
 
Back
Top Bottom