johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nadhani alitaka kumaanisha RailaKwani Rais huwa sio raia?[emoji848]
Kwamba Rais anatokana na malaika ama vipi mkuu?
Wakenya wanataka mfumko wa bei na gharama ya maisha vishuke. Hilo hasa ndilo wanalopigania kwasasa.