Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023
Bongo hakuna wapinzani
Wapo kimya - wakilipiwa madeni na wengine wamekimbia

Hawaongei mahitaji ya wananchi , wanaongea mahitaji yao

Hao wananchi wao wako wapi kujiongelea hayo mahitaji yao, au wanasubiri tu wanasiasa wawaongelee?
 
Kiukweli kwa siasa za Upinzani Tanzania bado sana na labda ndio sababu Rais Samia alisema haoni Dhamira kwenye nyuso zao

Leo nilikuwa namwangalia Raila naina dhahiri dhamira ya kile.anachokipigania hata kama atafeli

ACT Wazalendo jifunzeni siasa Kenya

Mlale unono!

YOHANA MBATIZAJI!!!! Una ugomvi wowote na zito!?
 
Polisi Kenya wanatumia Risasi za moto kutawanya watu? Raisi wao yuko juu ya katiba kama Tanzania?
 
Police wa Tz wana sare za ovyo sana bradhee.
Tanzania Police
manyar-data.jpg

B.jpg

1-21.jpg


Kenya Police
6328.jpg
Police%20officers.JPG
kenya-police_wide-e7ecf13675c176ecae0925f292350be10c448b5f-s1400-c100.jpg
Polismanstecken.jpg

acf08ca4810e9bb7b0ebd0e17bbbef29.jpg
Kwani sare ndiyo zinazofanya kazi?
Hizo sare zenu zimewasaidieni nini?
 
Mimi sipingani na kuwepo kwa katiba mpya lkn wote tumejionea, swali langu ni kwamba kwa hiyo katiba mpya tunayoitaka ndo inawapa uhuru wakenya ya kuichafua hali ya hewa hivi?

Ndio maana ya kiongozi kutojifanyia anayotaka yeye, leo uwanja wa ndege wa chato upo tu, ujengwe mwingine kizimkazi si unaona hasara hiyo lazima kiongozi ajue wananchi wapo ndio wenye nchi
 
Mimi sipingani na kuwepo kwa katiba mpya lkn wote tumejionea, swali langu ni kwamba kwa hiyo katiba mpya tunayoitaka ndo inawapa uhuru wakenya ya kuichafua hali ya hewa hivi?
Picha au Video ya kutoa support ya maelezo yako ipo wapi?
 
Eti maandamano kila jumatatu kuipinga serikali halali kabisa. Ule ni ujinga usiovumilika.

Ingekuwa TZ basi vyombo vya ulinzi na usalama vingewaonya, "mama mkanye mwanao, akiandamana tusilaumiane". 🫡

Sasa wewe andamana 😅.
 
Back
Top Bottom