Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Bora sukuma gang wanaweza kuitikisha ccm kidogo kutoka na nguvu ya Magu huku mtaani ila siyo hawa waramba asali
Nimecheka kwa nguvu, sukuma gang mnaweza kuitikisa CCM kwenye platform gani labda? CCM inategemea vyombo vya dola maana yenyewe haina nguvu yoyote, je nyie mna silaha ya kutishia wanaopata kinga ya vyombo vya dola?