Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023
Bora sukuma gang wanaweza kuitikisha ccm kidogo kutoka na nguvu ya Magu huku mtaani ila siyo hawa waramba asali

Nimecheka kwa nguvu, sukuma gang mnaweza kuitikisa CCM kwenye platform gani labda? CCM inategemea vyombo vya dola maana yenyewe haina nguvu yoyote, je nyie mna silaha ya kutishia wanaopata kinga ya vyombo vya dola?
 
Eti maandamano kila jumatatu kuipinga serikali halali kabisa. Ule ni ujinga usiovumilika.

Ingekuwa TZ basi vyombo vya ulinzi na usalama vingewaonya, "mama mkanye mwanao, akiandamana tusilaumiane". 🫡

Sasa wewe andamana 😅.
Kenya sio Tanzania, Tanzania haifanani na Kenya hata Nusu wale walishawahi kuchinjana wao kwa wao zilimwagika damu kikaeleweka Mambo haya haya ya uchaguzi, niambie lini Tanzania kilinuka tukachinjana wenyewe kwa wenyewe?
 
Katiba mpya ni kwa ajili ya kuondokana na Urais wa kifalme, Tume huru ya uchaguzi, makosa yote kuwa yana dhamana, kuongeza uhuru wa mihimili na "checks and balances" zake
 
Katiba mpya ni kwa ajili ya kuondokana na Urais wa kifalme
Sasa nini kimetokea Kenya? Rutto anatakiwa kurejesha kwa wahisani unafikiri ataanza na watu wa chini akaacha wale waliokua nyuma yake?
 
Kenya sio Tanzania, Tanzania haifanani na Kenya hata Nusu wale walishawahi kuchinjana wao kwa wao zilimwagika damu kikaeleweka Mambo haya haya ya uchaguzi, niambie lini Tanzania kilinuka tukachinjana wenyewe kwa wenyewe?

Unataka kuchinjana waanze na wewe?
 
Unataka kuchinjana waanze na wewe?
Demokrasia hio ndio wengine wanavyoiita, kwamba usipoelewa basi unalianzisha yaan km tupo kwenye kikao na hatujakuelewa hatuna haja ya kukusikiliza tunaondoka na kukuachia meza na viti vyako
 
Sisi tunatakiwa tujifunze kutokana na makosa ya katiba ya Kenya, Kwa mfano hatutakiwi kuwa na mfumo wa mshindi wa uchaguzi kuchukua kila kitu, sisi tuwe na serikali ya mseto kutokana na asilimia ya kura za wagombea.
Sasa nini kimetokea Kenya? Rutto anatakiwa kurejesha kwa wahisani unafikiri ataanza na watu wa chini akaacha wale waliokua nyuma yake?
 
 
Watawala wa kiafrica wote wanafanana tu hata Odinga akiingia still hatoweza leta changes,
Tatizo la Afrika sio nani aingie na asiingie , tatizo la Afrika ni mfumo. Huu mfumo wa SAsa umefail hauwezi leta mabadiliko.
Waafrika watafute namna ingine ya kujiongoza
Kweli kabisa....

tatizo hii mifumo iliyoshindwa inapendwa na wenye madaraka maana inawahakikishia maslahi na madaraka ya kudumu.
 
Back
Top Bottom