Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Wanasiasa viumbe wa ajabu. Usikute hapo kinatafutwa ni kama mambo ya Tanzania na Mbowe yaani wameshindana kwenye rushwa basi Raila kasema msipo nipa mzigo nalianzisha ila baada ya kulamba asali kama akina mbowe basi kila kitu swafii
Eti wamebeba masufulia, mabakuki na vijiko Sasa sijui wale chakula alicholima nani 🤣🤣🤩🤩🤩
Naona kuna Maji ya Washawasha ya kutosha na mabomu ya machozi
Katiba yao nzuri sana!
Makamanda wa Ufipa St ni Waoga hawawezi kuandamana!Eti wamebeba masufulia, mabakuki na vijiko Sasa sijui wale chakula alicholima nani 🤣🤣
Piga spana hao mda wa kuandamana wangeenda shamba..
Bado Tanzania Kuna wale wajinga utasikia mahindi bei Juu,kalime wewe uuze bei chini unataka nani akulimie upange bei?
kwani maana ya mgawanyiko wa kazi ni nini?kama wote wataenda shamba nani atafanya kazi zingine.hiyo ni myopic thinking.Eti wamebeba masufulia,mabakuki na vijiko Sasa sijui wale chakula alicholima nani 🤣🤣
Piga spana hao mda wa kuandamana wangeenda shamba..
Bado Tanzania Kuna wale wajinga utasikia mahindi bei Juu,kalime wewe uuze bei chini unataka nani akulimie upange bei?
Oda....Oda.....Oda 😂😂😂Order!
Odinga hana njaa kama tunavofikiliaWanasiasa viumbe wa ajabu. Usikute hapo kinatafutwa ni kama mambo ya Tanzania na Mbowe yaani wameshindana kwenye rushwa basi Raila kasema msipo nipa mzigo nalianzisha ila baada ya kulamba asali kama akina mbowe basi kila kitu swafii
Mfumuko wa bei Saazingine husababishwa na maamuzi ya kisiasa.Eti wamebeba masufulia,mabakuki na vijiko Sasa sijui wale chakula alicholima nani [emoji1787][emoji1787]
Piga spana hao mda wa kuandamana wangeenda shamba..
Bado Tanzania Kuna wale wajinga utasikia mahindi bei Juu,kalime wewe uuze bei chini unataka nani akulimie upange bei?
🤩🤩🤩
Naona kuna Maji ya Washawasha ya kutosha na mabomu ya machozi
Katiba yao nzuri sana!
Kwani Raila ameanza Leo hii tabia yake?, zaidi ya miaka arubaini Raila analeta fujo huko Kenya, na kabla ya yeye, baba yake mzazi alikua akifanya hivyohivyo.Sio hivyo unavyofikiri,mbona wakubwa wa Dunia wapo kimya wangeshaongea kama wangekuwa against
Eti wamebeba masufulia, mabakuki na vijiko Sasa sijui wale chakula alicholima nani 🤣🤣
Piga spana hao mda wa kuandamana wangeenda shamba..
Bado Tanzania Kuna wale wajinga utasikia mahindi bei Juu,kalime wewe uuze bei chini unataka nani akulimie upange bei?
Makamanda wa Ufipa St ni Waoga hawawezi kuandamana!
Ngoja wanyoshwe kidogo...
Umeshapanic!Ndio maana siku Ile kwenye hotuba ya sheikh Alhad Mussa Salum ulijitangaza wewe ni shoga unaogopa kukamatwa.
Peleka jukwaa husika hapa sio mahali pakeSiasa za Afrika Mashariki zinafanana sana
Jana Raila alisema atakuwepo Uwanja wa kuanziaa maandamano saa 12:00 asubuhi tayari kuwaongoza Wafuasi wake kuelekea Ikulu lakini hadi sasa saa 6 hii hajatokea
Ni Wamachinga na Bodaboda ndio wanarandaranda na kukamatwa na polisi
Nafuatilia hapa Citizen TV yaani Ruto kama Magufuli kabisa na huyu Raila ndiye Mwamba Mbowe
Kwa kifupi ni Shujaa vs Mwamba!