Nguvu ya umma haijawahi kushindwa,kama wakisema enough is enough.Wanakumbuka ahadi za Ruto kipindi cha uchaguzi. Unga ndo unazidi kupanda bei.Kuna polisi wamepewa kibano mpaka wamekimbia kujificha.
Tulia wewe Raila yuko live nani wa kushughulika na mbuzi wewe?Nenda kakiwashe sasa au unakangejea kale ka askofu uchwara?
Uliwahi kuona maiti ana nyanyuka mkuu kusema kitu au kuandamanaYani wenzetu unga umepanda kidogo tuu wameamua kuingia road wabongoo unga umedouble price..mchelee juu..mafuta juu yani labda kitu hakujapanda bei ni DHAMBI tu bongoo lakini sasa TUPO KAMA MAKONDOOO VILE. yani hii nchi ni tupate RAIS wa kutuonea huruma tu ilaa wananchi hakuna wakuongea kitu wala kunyanyua mdomoo hayupo achilia mbali kuingia road maana hiyo ndo HAITA KUJA KUTOKEA MILELE
Bora maiti inaweza kugoma kuzikwa mahali flani ila sio sisi wabongoUliwahi kuona maiti ana nyanyuka mkuu kusema kitu au kuandamana
Kuna mmoja kakimbizwa akaenda kuingia kwenye nyumba ya watu, kisha akavua kombati akabaki na vest na boksa akatoka nje peku akajifanya kichaa....😜😜Kuna polisi wamepewa kibano mpaka wamekimbia kujificha.
Ila nimecheka sana, yaani kuna askari kunya wana mbio walahi...😜😜😜Jamaa wanaonekana wamedhamiria kuandamana iwe mvua, iwe jua
Huku labla tuandamane kwa Usimba na Uyanga tunaweza hiloBora maiti inaweza kugoma kuzikwa mahali flani ila sio sisi wabongo
Wewe ni muoga wa kupindukia.Tulia wewe Raila yuko live nani wa kushughulika na mbuzi wewe?
Na wamesema ni kila mondayLabda ni kuwekee na picha za wanaume waliodhamiria:
View attachment 2559199
Raila ana hoja si bure.
Cc: vijana wa hovyo
Kuna afande mmoja kakimbizwa na raia akaona isiwe tabu akaruka ukuta chubwiii...😜😜 mara kitambi kika ng'ang'ania kwenye waya juu ya ukuta..😂😂😂Nguvu ya umma haijawahi kushindwa,kama wakisema enough is enough.Wanakumbuka ahadi za Ruto kipindi cha uchaguzi. Unga ndo unazidi kupanda bei.
Tatizo ni elimu, Watanzania wanasomea ujingaVyombo vya habari Kenya wanarusha live kila kitu. Tanzania media zetu ni kama TBC tu!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kibongo bongo tv zote na wasanii wote ungekuta wanahubiri amani wakati kuna watu wanalala njaa kisa serikali kufungua mipakaPolisi wanakimbia aisee! Wafuasi wa Raila wanarusha mawe si kitoto. Kuna Polisi wameruka ukuta kuingia nyumba ya mtu kujinusuru na mawe! Hii inarushwa live K24!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wamesema ni kila monday,Ruto itabidi arudi mezani, ikitokea ikapigwa hii hata siku 3 ni hatari.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
sio siasa tu masuala yote yahusuhuyo maisha ya mwanadamu mwenye akili timamu.Tz kweli hatupaswi kufananishwa na kenya kwenye masuala ya siasa
Punguza uongoHilo ni zao la ukabila, watanzania wajifunze tofauti kati ya upinzani wa kisiasa na ukabila, Kenya ni mfano wa ukabila, huko hakuna siasa ni ukabila mtupu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
wewe umesikia kenya MKIKUYU NA MKAMBA unga wanauziwa bei tofauti??? kwamba ukienda sokoni kununua mchele unaulizwa kabila?? yani watu kama wew ndo wanadhirisha wabongo hatujitambui kabisaa.. UGUMU wa maisha hauchagui kabila wala dini.Hilo ni zao la ukabila, watanzania wajifunze tofauti kati ya upinzani wa kisiasa na ukabila, Kenya ni mfano wa ukabila, huko hakuna siasa ni ukabila mtupu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We jamaa si ukafagie kaburi lenuCHADEMA walikua wanataka haya Kwa JPM.
Akawambia thubutuuuu