Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

Dogo usijali. Sehemu ya nne inakuja. Muda siyo mrefu naipost. Kuwa mvumilivu tu.

Sauh'waah?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚@steveMollel mavitu kama haya m naonagan watu wazito wanajua mengi so muda wa kua na ma account rumbesa hawana.Au kua makini na ID zako uwe na consistent kwenye Uzi mmoja.

Mi kuna mwamba I'd yake ni MALCOM LUMUMBA siku izi sioni post zake ila ni mmoja wa watu wanaoni inspire kupenda mambo ya intelligence.

Upe uzi wako uzito sio kwa Nia mbaya lakini.
 
Ondoa shaka worry not every littleshit will be alright. Niko hapa kwa ajili yenu. Nondo nitakazoendelea kushusha uspime another level yani ni nondo zilizosheheni madini yaliyojitosheleza. Kuhusu ile Id yangu nyingine ya malcolm lumumba nimeipumzisha kwa muda.

Sitawaangusha believe me.

MBRRRRRR

gammaparticles Chaliifrancisco miviga ephen_ Ncha Kali stow away
 
Kagame tunamchukulia poa sana.
CDF kwenye hotuba yake ilitakiwa Uhamiaji waanze msako na Ikulu ianze temesha watu
Usimchukie aliyefanikiwa maana kamwe kumchukia kwake hakutakuwezesha wewe kufanikiwa. Sisi tumeshiriki vita vingi sana barani Afrika bila kuwa na malengo ya nini tunapata. Tumepoteza askari wetu wengu kwenye vita vya ukombozi kule South Afrika, Msumbiji, Namibia na Ushelisheli lakini leo hao watu hawana mpango na sisi. DRC Congo tumepeleka maskari wetu mara kibao na hata sasa wapo kule bila maslahi yoyote ya maana kwa nchi. Wenzentu wanafanya hizo mission kwa faida ya askari wao na nchi zao. Hata WEGNER ya Russia haijawahi kwenda mahali bure bure bila maslahi. Mwacheni Kagame atumie vizuri furza zilizopo katika tasnia ya ulinzi kwa faida ya nchi yake. Ikibidi alete vikosi vyake na huku Tanzania kuwadhibiti wezi wa mali za umma wanaolindwa na Chama tawala na Serikali yake.
 
Kwahiyo mkuu, kweli kabisa nahitajika kutoa maelezo kwamba huyo bwana si mimi? [emoji1]

Aisee.
 
Migogoro dhidi ya wananchi!? Wananchi Gani hao!? Hao hao wanaochinjwa na magaidi kwa kigezo cha dini!? Haiingii akilini , kuwachinja watu masikini kabisa ambao hawali hata chembe Moja ya keki ya Taifa. Haowanaofanya hivyo ni wendawazimu ambao dawa yao ni Risasi TU.
 
Naam! Uzi mmoja wa akili sana. Naweza sema ni member wachache sana wenye kufuatilia taarifa za kimataifa kwa kina na kuzileta hapa jukwaani kwa kirefu na kwa lugha rafiki. Yaani hapa naona kama nasoma lile gazeti la The EastAfrican kwa jinsi lilivyosheheni makala.
 
Baada ya kusoma nmegundua Mozambique hawawezi kusaidika mana hata wanajeshi wao hawana nidhamu na jeshi lao... ukisema uwafundishe halafu uwaachie bado tatizo liko palepale pengine hao hao wanajeshi ndo Al sunna wenyewe wanaowafundisha hao vijana wa mtaani vita kwa maslahi yao .... kuna ajenda wanayo wao wenyewe
Ndo mana hao Mercenaries wa Urusi waliishia kusema Mungu awasaidie sana maana wanaoumia ni wananchi hasa wazee/wanawake na watoto
Mana wanaume ukiona vipi unajiunga nao tu hamna namna
 
Mimi hawa sitaacha kuwaita magaidi maana for whatever reasons, hamna validation ya hiki wanachokifanya cha kuua raia ikiwamo wanawake na watoto, tena kwa kukatakata na kuchinja!

Hamna sababu yoyote ya kuhalalisha uhuni huu.
 
Wewe ni miongoni mwa wanawake wanaopitia habari za maana. Unastahili pongezi.

Tukirudi kwenye ulichokisema, Msumbiji sio jeshi tu, hata viongozi hawana. Matatizo haya wameyatengeneza kwa mikono yao wenyewe.
 
Ahsante sana, Jay Jay.
 
Nmecheka baada ya kuwaza " paap magaidi hawa hapa!! Halafu sasa wametukusanya wanatupa somo mpaka sisi wagalatia halafu mtoa kisomo ana Ak47 mkanda uko full πŸ˜†πŸ˜† hata ungekua ww hutokaa madrasa utulie kusikiliza Mawaidha unaanzaje kutokutulia???? We kuweza Mahi dear???
 
Wewe ni miongoni mwa wanawake wanaopitia habari za maana. Unastahili pongezi.

Tukirudi kwenye ulichokisema, Msumbiji sio jeshi tu, hata viongozi hawana. Matatizo haya wameyatengeneza kwa mikono yao wenyewe.
Na ndio maana kuna mdau kasema tuwatoe tu Wanajeshi wetu waongeze nguvu mpakani wawe wakutosha ikibidi iwe makazi Rasmi.. Tuwaachie vuguvugu lao...
Nafikiri hata hayati ndio maana aliweka wakuu wa mikoa ya mipakani wawe Makamanda.
Kupambania kitu ambacho hakina maana kwetu hakuna sababu kabisa
 
IMHO, mleta mada ameanzisha thread makusudi kujadili au kuangaza mienendo ya Rwanda na ndiyo maana ameanzia mbali tofauti na matukio ya Msumbiji pekee.
Sasa hucho unachopendekeza no kuhusu Msumbiji tu kitu ambacho ni nje ya malengo ya OP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…