ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,069
- 5,411
😂😂😂@steveMollel mavitu kama haya m naonagan watu wazito wanajua mengi so muda wa kua na ma account rumbesa hawana.Au kua makini na ID zako uwe na consistent kwenye Uzi mmoja.Dogo usijali. Sehemu ya nne inakuja. Muda siyo mrefu naipost. Kuwa mvumilivu tu.
Sauh'waah?
Mi kuna mwamba I'd yake ni MALCOM LUMUMBA siku izi sioni post zake ila ni mmoja wa watu wanaoni inspire kupenda mambo ya intelligence.
Upe uzi wako uzito sio kwa Nia mbaya lakini.