Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
π π DAMNED IS THE COUNTRYKama anaweza kutamka hadharani kwamba JK ndio Boss wake bado unadhani hapo kuna anachokijuwa?
JK yupo Japan muda huu, ndio Rais kimvuli wa Tanzania anayeendesha nchi.
Anavyodhurura utadhani yeye ndio mtu mashuhuri pekw yake haoa duniani.
Enzi zile wakati tunatafuta michongo ya kukimbia Bongo tulikuwa tunaaply kila seminar na convetions majuu tupate invitation za kuombea viza, hiki ndicho wanachokifanya wasaidizi wa wa ofisi ya JK sasa hivi, wanakesha kwenye mitandao kuapply events na wale hosts hakuna asiyependa kupata mshiriki mashuhuri wa level ya Presidential.
Nakuhakikishia JK haalikwi bali ofisi yake ndio inaomba kushiriki na wazungu wanahitaji washiriki wa aina yake hapo analipiwa air ticket, hotel na VIP transport round trip.
Huyu Mzee hana aibu hata chembe.
Na kupitia katiba hiyo hiyo ndio iliyomuweka madarakani..... Inashangaza sana Rais kuwa na kiburi kipana kiasi hicho.Unaongoza kusiginwa kwa taratibu za chama chako halafu unataka kuwa Rais baada ya kuidogosha katiba uliyoapa kuiheshimu!
Alisema ni kijitabu sio kitabuKwani kila nchi duniani ina Katiba iliyoandikwa?
Kama siyo basi ni sahihi kabisa kusema Katiba ya JMT ni Kitabu hadi hapo inapokuwa inatekelezwa ndio inakua Falsafa au Utumishi
π
Hata mda huo wa kukaa kitako na kusoma anaoKiongozi yeyote anayedogosha msahafu wa kazi yake ya uongozi, anaibua maswali mazito sana.
Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema.
Rais Samia alipoiita katiba kuwa ni kijitabu tu, alikuwa anatuambia ni jinsi gani kwake, sheria na kiongozi ya kuongoza nchi, isivyo na maana kabisa.
Mapuuzo hayo ndo yamepelekea chama chake kukiuka taratibu zake.chenyewe.
Samaki huoza kuanzia kichwani.
Mwenyekiti wa chama anaachia taratibu za chama chake zisifuatwe.
Hapo kuna mawili: [1] ni ama hazijui taratibu za chama chake, au [2] anazijua lakini hajali kuzifuata.
Yote hayo mawili ni mchepuo mbaya sana katika uongozi.
Unaongoza kusiginwa kwa taratibu za chama chako halafu unataka kuwa Rais baada ya kuidogosha katiba uliyoapa kuiheshimu!
Wewe unafaa kweli kuwa kiongozi?
Sidhani kama Rais Samia keshawahi kuisoma na kuielewa katiba ya nchi, achilia mbali ile ya CCM.
Na kaharibu taratibu za CCM kwa makusudi ili kumtengenezea njia Ridhiwani awe mgombea Urais coming 2030.Kama anaweza kutamka hadharani kwamba JK ndio Boss wake bado unadhani hapo kuna anachokijuwa?
JK yupo Japan muda huu, ndio Rais kimvuli wa Tanzania anayeendesha nchi.
Anavyodhurura utadhani yeye ndio mtu mashuhuri pekw yake haoa duniani.
Enzi zile wakati tunatafuta michongo ya kukimbia Bongo tulikuwa tunaaply kila seminar na convetions majuu tupate invitation za kuombea viza, hiki ndicho wanachokifanya wasaidizi wa wa ofisi ya JK sasa hivi, wanakesha kwenye mitandao kuapply events na wale hosts hakuna asiyependa kupata mshiriki mashuhuri wa level ya Presidential.
Nakuhakikishia JK haalikwi bali ofisi yake ndio inaomba kushiriki na wazungu wanahitaji washiriki wa aina yake hapo analipiwa air ticket, hotel na VIP transport round trip.
Huyu Mzee hana aibu hata chembe.
Hapo kagoma kutoka kwenye mkutano na mdaidizi wake manyweleπ'kama kutusifia mtusifie hapa hapa kama kutuchamba mtuchambie hapa hapa'
Chura kiziwi π€π€π€