REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia Julai , 2021.
Huu si uhuni mnejuaje hii nyumba ilikuwepo tangu Julai 2021.
Huu si uhuni mnejuaje hii nyumba ilikuwepo tangu Julai 2021.