Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

TANESCO naombeni msaada nimeunganishiwa umeme mwez wa 10/2021…leo nakatwa elfu 10 ya nn

7179DBC5-AE94-4CAA-B359-472816CA5E26.jpeg
 
Hii nchi ni ya ajabu Sana, wazee ambao kimsingi nyumba zao zilisamehewa Kodi, lakini kupitia hii Kodi wanalipa Kodi ya majengo. Wazee ambao hata kununua umeme pato Hilo hawana Ila serikali kupitia tanesco imeendelea kuwatoza Kodi, pasipo huruma huku wazee akuna Yusufu makamba wakiramba asali
 
Ukununua umeme tunakupatia unit na makato yote tafadhali
Nimejenga nyumba yangu kuanzia January 2022 na ni kamaliza aprl 2
022. Nikaunganishiwa luku may 2022. Kwa nn kodi mkate ya tangu July 2021 wakat kipindi hicho sikuwa hata na kiwanja?
 
Back
Top Bottom