Walifanya hivyo makusudi maana watu mlikuwa hamuendi kulipia majengo
Wabongo bila bakora hamuendi
Ova
Tofautisha bakora na wizi mjomba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifanya hivyo makusudi maana watu mlikuwa hamuendi kulipia majengo
Wabongo bila bakora hamuendi
Ova
Hii kodi ni Tsh 12000 kwa mwaka kwa hiyo ni wajibu wetu kuilipaThibitisha nyumba ikiunganishwa Jun 30, 2022 ikalipa umeme 12,000/- itapata 0 units, ila ikiunganishwa Jul 1, 2022 itapata umeme wa units 11,000/-.
Hii kodi ni Tsh 12000 kwa mwaka kwa hiyo ni wajibu wetu kuilipa
Tunarudia maelezo haya unapaswa kuyapata kupitia TRA, TANESCO ni mkataji wa kodi na sio msimamizi au mwenyejukumu la kuelezea makato husika.Naweza kupata jibu la wazi la ndiyo au hapana kwa swali hili?
Nyumba nikiunganishwa umeme Jun 30, 2022 nikalipa umeme 12,000/- nitapata 0 units, ila nikiunganishwa Jul 1, 2022 itapata umeme wa units 11,000/-?
Tunarudia maelezo haya unapaswa kuyapata kupitia TRA, TANESCO ni mkataji wa kodi na sio msimamizi au mwenyejukumu la kuelezea makato husika.
Ukununua umeme tunakupatia unit na makato yote tafadhaliMimi ninauliza kiasi cha units za umeme nitakazopata. Kwani TRA anauza umeme?
Kuanzia tarehe 1 July 2021 kodi ya jengo inalipwa kupitia Tanesco. Ili usikatwe nenda kalipe kodi ya jengo ya July hadi ulipoungiwa umeme halafu uendelee kuanzia hapo, otherwise wako sawa. Unless, jengo lako halikuwepo wakati hiyo sheria inaanza.Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia Julai , 2021.
Huu si uhuni mnejuaje hii nyumba ilikuwepo tangu Julai 2021.
Umeelezea vizuri sanaKuanzia tarehe 1 July 2021 kodi ya jengo inalipwa kupitia Tanesco. Ili usikatwe nenda kalipe kodi ya jengo ya July hadi ulipoungiwa umeme halafu uendelee kuanzia hapo, otherwise wako sawa. Unless, jengo lako halikuwepo wakati hiyo sheria inaanza.
Ukununua umeme tunakupatia unit na makato yote tafadhali
Utapata unit za pesa uliyotoa kama utakuwa hauna makato mengine kama kodi ya majengo.Mbona vigumu kujibu maswali ya wazi hivyo ndugu?
1. Hivi kama nikiunganisha umeme Jun 30 2022 kisha nikanunua umeme wa 12,000/- nitapata units ngapi?
2. Je nikiunganishwa Jul 1, 2022 nikanunua umeme wa 12,000/- nitapata units ngapi?
Majibu ya wazi kwa #1 na #2 tafadhali.
Kuanzia tarehe 1 July 2021 kodi ya jengo inalipwa kupitia Tanesco. Ili usikatwe nenda kalipe kodi ya jengo ya July hadi ulipoungiwa umeme halafu uendelee kuanzia hapo, otherwise wako sawa. Unless, jengo lako halikuwepo wakati hiyo sheria inaanza.
Kodi ni kiasi cha 12000 kwa mwaka unalipaje ndio utaratibu umerahishwaHuo usawa uko wapi ndugu. Kwa vile tu wewe haikuhusu?
Kwanini hiyo kodi isije per day? Au basi per month?
Kwani wizi ni nini?
Wewe ndo una kichwa kigumu. Nyie ndo wananchi wasumbufu mnaosumbua bila sababu za msingi.Mbona vigumu kujibu maswali ya wazi hivyo ndugu?
1. Hivi kama nikiunganisha umeme Jun 30 2022 kisha nikanunua umeme wa 12,000/- nitapata units ngapi?
2. Je nikiunganishwa Jul 1, 2022 nikanunua umeme wa 12,000/- nitapata units ngapi?
Majibu ya wazi kwa #1 na #2 tafadhali.
Utapata unit za pesa uliyotoa kama utakuwa hauna makato mengine kama kodi ya majengo.
Wacheni majibu ya juu na yenye kukwepa kuwajibika. Nyie ndiyo mnaotekeleza hiyo sheria. Je wakati mnamfungia umeme mteja hamchukui maelezo ya nyumba kama ni ya nani na imekuwa hapo tangu lini. Kivipi mtu alipe kodi ya jengo ambalo halikuwepo? Kama jengo lilikuwepo hapo ingeleta sense kidogo. Je kama sheria itakuwepo miaka 10 mbele ndio kusema anayejenga mwaka wa 9 adaiwe kodi ya nyumba ya miaka yote 10 nyuma? Is that logical? Unahitaji kumshauri mteja awasiliane na TRA hapo??Tafadhali wasiliana na mamlaka ya mapato kwa maelezo zaidi
Kodi ni kwa mwaka?Kodi ni kiasi cha 12000 kwa mwaka unalipaje ndio utaratibu umerahishwa