REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Yani sijui asali ya nyuki gani hawa maana ni nomaSasa hivi tushakubaliana tunalamba asali
Du! 😂😂😂 hili suala lipi seriously ndio maana wadau wanasema wahuni wapo kaziniKuweni wazarendooo,Mimi niliwaomba wakate kuanzia 2015(Kama ingewezekana) ili kuonyesha uzarendoooo wangu.
Nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuuuu.
Yani ukipigwa sm huduma kwa wateja Tanesco anakujibu simple ooh una deni la tozo unamwambia angalia umeme umeungwa lini unanikataje kuanzia julai 2021, unasikia ndio utaratibu huoApa unataka kumuongezea Luhaga Mpina points za Kumtwanga Mr February manyuzi sio
UfafanuziHili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia Julai , 2021.
Huu si uhuni mnejuaje hii nyumba ilikuwepo tangu Julai 2021.
Inch ngumu Sana hii[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia Julai , 2021.
Huu si uhuni mnejuaje hii nyumba ilikuwepo tangu Julai 2021.
Ufafanuzi
Tafadhali tambua kuwa mwenye jengo anapaswa kulipia kodi ya jengo husika kiasi cha 12000 kwa nyumba za kawaida na kiasi cha 60000 kwa nyumba za ghorofa, hivyo basi kinachomatwa ni kiasi kilichopo kisheria kwa nyumba iliyopa nchini ndani wa mwaka wa fedha husika.
Ahsante
Tunakujulisha kuwa Tsh 1000 unayokatwa kila mwezi ni kurahisisha maisha kwenye ulipaji kimsingi lengo ni kulipia 12000 kwa mwaka.Kwa hiyo tutakaounganishiwa umeme Jun 2022 tutalipa kodi ya pango tokea Jul 2021?
Huu si ndiyo uhuni kazini sasa?
Kinachohojiwa ni uhalali wa kodi 12,000/- kwa nyumba aliyoweza kuishi mtu kuanzia Jun 2022.Tunakujulisha kuwa Tsh 1000 unayokatwa kila mwezi ni kurahisisha maisha kwenye ulipaji kimsingi lengo ni kulipia 12000 kwa mwaka.
Tafadhali wasiliana na mamlaka ya mapato kwa maelezo zaidiKinachohojiwa ni uhalali wa kodi 12,000/- kwa nyumba aliyoweza kuishi mtu kuanzia Jun 2022.
Hamuoni tatizo hapo?
Kwanini angalau isiwe 1,000/- kuanzia nyumba ilipounganishwa?
Tafadhali wasiliana na mamlaka ya mapato kwa maelezo zaidi