FlyingDutchman
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 459
- 862
- Thread starter
-
- #21
Naomba ni kujibu , inaonekana imekua ni utamaduni watu kutoshinda kesi za namna hii, swali langu ni je what if Kuna uonevu wa namna hii unaendelea?? What if ni ndugu yako swala kama hili limemkuta? Ina maana kisa hakuna anaeshinda kesi kama hizi atakama Kuna mtu kaonewa tukae kimya?1. TIA haipo TCU bali NACTVET,
2. Demu wa kumkazia lecturer atoke wapi? Hawa wanaoomba pesa ovyo?
3. Kwa mwandiko huu wa kuchanganya na broken English ni ama wewe ni 🌈 au hujielewi Bora mfukuzwe tu.
1. TIA ipo chini ya NACTVET sasa hapo TCU inaingiaje?
2. Kuandika hujui ila unajua kuhukumu bila vithibitisho vinavyohusu malalamiko yako.
3.Ungejua hakuna mwanafunzi amewahi kufanikiwa kwenye kesi za aina hio usingeleta mada hii Jamiiforums.
ijumaa Maqbul
Wabillah Taufiq
Njia pekee ya kushinda kesi km hizo ni kukataa mpaka mwisho yaan kataa kadri unavyoweza kana kabisa maana hawana cha kukufanya ikiwa utakataa mpaka mwisho ila ukionyesha hali ya kukubari hata kidogo tu umekwisha, unatakiwa ukatae mwanzo mpaka mwisho ndio unaachiwa bila hivyo ukilegeza wanakula kichwa wanakula hela, kataa ikiwezekana chizika kabisa kua chizi kataa kua kichaa kabisaKilichopo kwenye karatasi kuwa hakifanani na kilichoulizwa kwenye mtihani siyo kigezo kinachomtoa hatiani je kama alifanya attempt ? Instruction ziko wazi jaribio lolote la udanganyifu litaambatana na adhabu .
Au madai yako ni kuwa wasimamizi ndiyo walimtegea karatasi?
Je kama hakufanya attempt yoyote ya cheating?Kilichopo kwenye karatasi kuwa hakifanani na kilichoulizwa kwenye mtihani siyo kigezo kinachomtoa hatiani je kama alifanya attempt ? Instruction ziko wazi jaribio lolote la udanganyifu litaambatana na adhabu .
Au madai yako ni kuwa wasimamizi ndiyo walimtegea karatasi?
Alitakiwa akatae kwamba hata hapo wanaposema alikaa kukawa na kikaratasi yeye hakukaa hapo yaan alitakiwa amkatae hata huyo aliepeleka kesi ya kumkamatishaJe kama hakufanya attempt yoyote ya cheating?
Nachopinga ni assumption zilizofanyika kumtia hatiani, Kuna camera chumba Cha alichofanyia mtihani kwanini ushahidi huo utupiliwe mbali if there is justice being served?
Point namba 3 izimgatiwe sana, sababu naamini kama hakuna mwanafunzi ambae ameawai kushinda kesi ya namna hii basi it means there is no justice in all university level? Or these who were all caught,were in fact cheating! And I don't believe on that.1. TIA ipo chini ya NACTVET sasa hapo TCU inaingiaje?
2. Kuandika hujui ila unajua kuhukumu bila vithibitisho vinavyohusu malalamiko yako.
3.Ungejua hakuna mwanafunzi amewahi kufanikiwa kwenye kesi za aina hio usingeleta mada hii Jamiiforums.
Point yako namba tatu nimeiona ,kwanza hongera wewe unayejua kuandika vizuri, but pamoja na kuandika vizuri, naomba nikujibu sababu umetafuta attention now you got one1. TIA haipo TCU bali NACTVET,
2. Demu wa kumkazia lecturer atoke wapi? Hawa wanaoomba pesa ovyo?
3. Kwa mwandiko huu wa kuchanganya na broken English ni ama wewe ni 🌈 au hujielewi Bora mfukuzwe tu.
ijumaa Maqbul
Wabillah Taufiq
Nikajua ni mimi peke yangu nimeona 🤔
Hawa madogo ni kichefu chefu sana. Elimu inazidi kuporomoka hapo nchini. Wanazalishwa wana degree lakini vilaza.Nikajua ni mimi peke yangu nimeona 🤔
Leo siyo ijumaa unakimbiza siku mbele au kuna mtu unamdai?1. TIA haipo TCU bali NACTVET,
2. Demu wa kumkazia lecturer atoke wapi? Hawa wanaoomba pesa ovyo?
3. Kwa mwandiko huu wa kuchanganya na broken English ni ama wewe ni 🌈 au hujielewi Bora mfukuzwe tu.
ijumaa Maqbul
Wabillah Taufiq
Seems like the name you chose as your pseudo name,it is,in unfortunately way ,a pure reflection of your soul.ACHA KUWA UNADESA. ZIMEKISIRI? NDO NINI? HICHO CHUO KINABEBA VILAZA SANA.
"Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama izi zmekisiri, my take principle was TIA it's time you take matter on hand na ufatilie kwa ukaribu hili swala, unless umeapprove uo uozo unaendelea"
Hapo umeandika madudu gani? Kilaza mkubwa wewe.
Kaka mna mfanyia uvamizii kijana.. mixer masimango 😆Nikajua ni mimi peke yangu nimeona 🤔
Asante sana kwa kuweka hili jambo wazi, now imagine what people can do for money? Mi naomba taasisi husika iingilie kati hili swala huyu mtoto ameonewa , na wao hawataki kabisa kumsikiliza na hata kutumia ushahidi wa camera , haya mambo yanakera na wapo wengi wanaopoteza future zao kwasababu TU mtu kalipwa vijisenti kidogo anashupaza shingo.Kila kichwa ukipeleka na kesi 1 unapewa 1M vyuo vinginevyo hadi 3M mpaka 5M kwa kichwa kimoja tu chenye kesi ukifanikiwa kushinda kesi na denti akafukuzwa chuo unalipwa, waulize hapo DIT wanaelewa
Hapana mkuu ,sifanyi hivyo ila nimesoma sikuelewa tuKaka mna mfanyia uvamizii kijana.. mixer masimango 😆
Kijana asaidikee kaka..
Binti anatakiwa akataeAsante sana kwa kuweka hili jambo wazi, now imagine what people can do for money? Mi naomba taasisi husika iingilie kati hili swala huyu mtoto ameonewa , na wao hawataki kabisa kumsikiliza na hata kutumia ushahidi wa camera , haya mambo yanakera na wapo wengi wanaopoteza future zao kwasababu TU mtu kalipwa vijisenti kidogo anashupaza shingo.
Umenikumbusha form one rafiki yangu mmoja now ni mwalimu wa primary ili mlazimu amezee kibomu chake kupoteza ushahidi😁😁Tukiwa f3 kuna mwenzetu aliingia na bomu kuubwaa hatimae alikamatwa halafu kwenye bomu lote lile lilitoka swali moja tu kwenye matching items dah tulicheka sanaaaa
In short analalamika Kuna mdada hapo TIA amefukuzwa chuo kwa sababu ya examination irregularities huyu mtoa mada kushaurii jicho la mwewe likamulike hapo TIA Kuna something fishy kwenye ufukuzwaji wa hao wahanga..Hapana mkuu ,sifanyi hivyo ila nimesoma sikuelewa tu
Ukweli ni kwamba wewe ndio kichechefu , ni mtu mwenye nafsi inayotia kinyaa, sababu I don't think that you can even sieve between right and wrong.Hawa madogo miaka hii kichwani hamna kitu kabisa. Uandishi wake unatia kinyaa na huyo ndo msomi wa miaka hii. Anashindwa hata kupanga hoja. Mi sielewi CCM inapeleka wapi hiyo nchi yenu. Elimu inazidi kuporomoka.
Siyo kukisiri>kukithiriKukisiri>Kukithiri
Ela>hela