Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

Hangaya ndo kwanza anazidi kuapishwa!!! maana sa ivi sijui ni chifu mangisina wa moshi uko... hana habari kabisa na mambo muhimu ya wananchi
 
Shukran sn kaka kwa kujazia nyama
 
Mbege inatengenezwa na nini. Mama nchi ishamshinda.
 
Wakati wa mwendazake kulikuwa na utulivu wa bei /usitufanye mazuzu
 
Kuna fundi mmoja wa vioo vya madirisha leo kaniambia kioo kilichokuwa kinauzwa elfu 75 mwaka juzi leo kinauzwa laki 2 na ushee!

Yani ongezeko la zaidi ya 149,000

Alafu kuna pumbavu mmoja anakuja eti anamtupia lawama Magufuli?
 
Magu alitaka tujitegemee na tulikuwa mahali pazuri sana
Kuna fundi mmoja wa vioo vya madirisha leo kaniambia kioo kilichokuwa kinauzwa elfu 75 mwaka juzi leo kinauzwa laki 2 na ushee!

Yani ongezeko la zaidi ya 149,000

Alafu kuna pumbavu mmoja anakuja eti anamtupia lawama Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…