Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa maokoto kashapata kichochoro cha kupewa bahasha ya khaki. 😀Huu waraka naona umewashika pabaya mno na ni wazi hawana pa kutokea! Si waraka mbaya umesheheni ushauri na tadhahari kwa maslahi ya Watanganyika wote bila kujali imani...
UKitetewa na watu aina ya huyo Mwijaku ni fadhaa.Huu waraka naona umewashika pabaya mno na ni wazi hawana pa kutokea! Si waraka mbaya umesheheni ushauri na tadhahari kwa maslahi ya Watanganyika wote bila kujali imani...
Yeye Kakobe ametubu?Tarehe 25 December 2017, Askofu Zakaria Kakobe akiwa kanisani kwenye ibada ya Christmas, katika kanisa la FGBF Mwenge jijini Dar es Salaam, alinukuliwa akituma salamu kwa Rais wa JMT, Dkt. John P. Magufuli...
Huyu unamfahamu? Nenda twitter kwanza kawasikilize kisha urejee hapa kwa mjadalaKaka hata hao umoja wamitume na manabii pia wanahaki ya kupinga uwo waraka wa Tec kwa maana wote sisi ni watanzania
Hila wapinge kwa oja co chuk tu kwahiyo kaka uctake wewe kila mtu awaelewe hao Tec
Na kingine unasema et kuna watu wametengenezwa kupinga tec! Umesahau Tz ina watu wengi na kila mtu yupo na akili zake na kupinga co dhambi hata kma jambo linaukweli
Kumbe Mwijaku ni mjinga mjinga sanaHuu waraka naona umewashika pabaya mno na ni wazi hawana pa kutokea! Si waraka mbaya umesheheni ushauri na tadhahari kwa maslahi ya Watanganyika wote bila kujali imani, itikadi wala asili zao...
Mnaoishi nao hao Watanzania kweli mliumbwa na MioyoKwa Rais Mstaafu @jmkikwete na mnaosema Baraza La Maaskofu wana chuki za kidini. Naombeni mnieleweshe:
- Baraza hili la maakofu (TEC) mwaka 2018 lilipotoa waraka wa Pasaka wa kupinga mauaji na utekaji wa watu uliofanywa na Serikali ya Jiwe walikua na vhuki ya Kidini na 'Mkatoliki' Mwenzao Magufuli....
Mwijaku hana akili. Tunatetea wote bandari ibinafisishwe ile siyo kuwatusi viongozi wa dini au viongozi waandaminzi wa serikali wawe wamestaafu au wapo madarakani. Huyu kijana kajichumia laana!
Huyu mchimba chumvi wa morogoro namjua hadi chumba alichokuwa analala...Huu waraka naona umewashika pabaya mno na ni wazi hawana pa kutokea! Si waraka mbaya umesheheni ushauri na tadhahari kwa maslahi ya Watanganyika wote bila kujali imani, itikadi wala asili zao.
Ni waraka usio na chembe ya udini wala itikadi za kisiasa.. Umetembea kwenye mstari wa katiba na sheria za nchi. Ni mkataba uliozingatia kwa asilimia 100 uzalendo, ustawi, utu na urithi wa taifa hili na tunu zake kwa vizazi vya sasa na vijavyo.. Lakini nyuma yake kuna mamlaka inajaribu kuukwamisha kwa kutengeneza watu wasiojitambua kuuhuisha na dini na maisha binafsi ya watu.
Wametengezwa watu wanaohojiwa na kutoa maoni yao. Yaani ni vituko na upuuzi mtupu.. Mpaka unaona kabisa hata huyo aliyewatengeneza akili zake hazina akili kama wao.
Inawezekana kabisa kuna kitu kikubwa zaidi kibaya zaidi cha kuogofya zaidi kuhusiana DPW na Bandari zetu za Tanganyika. Maana baada ya waraka kutoka JK kaibukia huko kwa Wasabato na kutoa nasaha zake zilizoacha maswali mengi kuliko majibu
Mama naye ni mwalikwa huko KKKT sijui atasema nini. Lakini unaweza kutabiri. Chama cha mitume na manabii eti nao wametoa waraka wao unaoupinga wa TEC.
Hizo mbinu zote ni namna ya kutaka kuwatenganisha watanganyika na waraka wa TEC na kutaka kuonesha waraka huo ni wa kikundi cha watu wachache wenye malengo yao mabaya.
TEC hawajakurupuka na hawatajibu mapigo kwakuwa wanajua kwa hakika wanachokifanya na waraka husika utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo bila kukoma mpaka hata asiye na masikio ya kusikia kama kenge asikie.
Hii panic ya kijinga ya kutafuta watu mitaani waupinge waraka haitafika popote. Wasabato, KKKT, Pentecost BAKWATA na wengine wote unganeni na TEC kwenye hili mwisho hauko mbali
Umoja wetu ndio mtaji wetu
Mungu ibariki Tanganyika
Mungu wabariki Watanganyika
View attachment 2723488
Kibaraka wa usalama wa taifa 😁 usalma wa taifa bongo hawana akiliHuyu unamfahamu? Nenda twitter kwanza kawasikilize kisha urejee hapa kwa mjadalaView attachment 2723573View attachment 2723574