Kinachoendelea Twitter (X) kuhusu maoni ya watu juu ya Waraka wa TEC ni upuuzi mtupu

Kinachoendelea Twitter (X) kuhusu maoni ya watu juu ya Waraka wa TEC ni upuuzi mtupu

Kwenye ukweli nuru hutawala.
Penye kasoro giza hunyemelea.
Ni suala la muda tu Mungu atatupa majibu ya kinachoendelea.
Yeyote aliyekula kiapo atende kadri ya kiapo chake.
Wananchi tumlilie Mungu kwani yupo na anatenda.
Yeyote aliyekula kiapo atende kadri ya kiapo chake.
Wananchi tumlilie Mungu kwani yupo na anatenda.[emoji419][emoji375]
 
Mstaafu @jmkikwete alipaswa KUKEMEA Serikali &Bunge kwa Kuingia Mkataba Mbovu w Bandari(IGA),Alipaswa Kushauri Nchi na KUKEMEA tendo hasi la Kutaka Kutengua Katiba na SHERIA zetu za kizalendo zinazolinda Rasilimali za Nchi. Msipachike Ajenda,UDINI Tupa kule[emoji3578]
20230821_112915.jpg
 
Kataa utapeli ,kataa udini ,kataa waabudu binadamu wenzao.

Kataa wakwepa kodi pale bandari kwa mlengo wa dini.

Kataa wanaume wasiotaka kuoa hao waumini mngewapataje ,kama sio kukosa akili?

Kataa wapitisha Silaha kwa kivuli cha dini?

Kataa utapeli kabisa serikali haina dini.!!
View attachment 2723615View attachment 2723616
Wewe Jamaa nilikua nakuona una akili Jana ulijieleza vizuri sana kuhusu maana ya Ushekhe nikakuelewa Ila leo umetema mashudu kweli mjinga ni mjinga tu hata aweje 👉🚮
 
TAFAKARI KWA WAKATOLIKI WENZANGU – GEORGE RUGAMBWA

Tumsifu Yesu Kristo
Amani na Usalama

Nataka niwape tafakari ndogo ya sehemu ya Kanisa Katoliki katika amani na ustawi wa jamii yetu.

Naomba nitumie mfano wa jirani zetu Rwanda mwaka 1994. Idadi ya Wakatoliki ilikuwa 65%, Waprotestanti 9%, Waislamu 1%. Dini nyingine na wasio na dini wanagawana hiyo 25% inayobaki. Kama tunavyojua Rwanda ina makabila makubwa mawili, Wahutu na Watusi. Maaskofu akiwemo aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kigali Vincent Nsengiyumva, wakawa nyuma ya siasa za kibaguzi kwa miaka 14.

Askofu Nsengiyumva akawa Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya National Republican Movement for Democracy and Development (NRMDD) au Kiswahili Vuguvugu la Jamhuri la Demokrasia na Maendeleo. Hiki kilikuwa ndicho chama tawala chini ya Wahutu kuanzia mwaka 1975 hadi mwaka 1994 pale Kagame na Rwandan Patriotic Front (RPF) walipoitwaa Kigali baada ya watu zaidi ya laki nane wengi wao Watusi kupoteza maisha katika mauaji ya Kimbari.

Mwaka 1990 Vatican ilimuonya Askofu Nsengiyumva kuachana na siasa lakini hakutii ipasavyo. Sijui kama mnaelewa.

Huyu alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Kigali Rwanda na wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Chama Tawala na Kiongozi wa Maaskofu wote wa Katoliki Rwanda. Chama chake cha Wahutu kilishiriki kupanga mauaji ya Watusi. Chini ya uongozi wake maaskofu Rwanda waliishi kwenye majumba ya kifahari yakijengwa kwa misamaha ya kodi kwenye huduma na biashara za kanisa.

Juni 7 1994, kikosi kidogo cha Wanajeshi wa Kagame wa RPF walimvamia na kumuua yeye na maaskofu wengine wawili na mapadri kumi na kusema wanahusika kwenye mauaji ya ndugu zao. Askofu Nsengiyumva alikuwa na marafiki maaskofu, mapadri na watawa Tanzania na amefika hapa mara nyingi hadi miaka miwili kabla ya kifo chake.

Wakristo wenzangu, nachotaka kusema ni kwamba viongozi wetu wa dini ni binadamu wenye ajenda zao. Uzuri baadhi ya mambo yao mnayajua pia. Akili za kuambiwa changanya na za kwako.

Nawatakia Ibada Njema ya Jumapili Agosti 20, 2023.

George Rugambwa
Butainamwa, Kagera
 
[emoji117]Mwamba mwingine huyu hapa, Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki Rulenge.
[emoji117]Enzi za Magufuli alipinga vyama vya siasa kunyimwa haki ya kufanya siasa
[emoji117]Akanyang'anywa Pasport ya kusafiria, akazushiwa sio raia
[emoji117]Ndiye aliyeongoza ibada ya mazishi ya Magufuli. Amesaini
20230821_113223.jpg
 
Tuwaombee Hawa Maaskofu Wa KKKT, Maana Za Ndani Kabisa Usiku Wa Kuamkia Leo Hawajalala,Kunawatu Wanawazonga Nakutaka Wawape Hotuba Zao,Na Mpaka Muda Huu Wamenyang'anywa Hotuba Walizokua Wameandaa,Wamepewa Ambazo Hawazijui,Inabidi Wazisome.Wako Kwenye Wakati Mgumu Sana.[emoji24][emoji24][emoji24]KKKT.
20230821_113348.jpg
20230821_113346.jpg
 
Waislam hawawezi kumpinga muislam mwenzao hata kama atavurunda watakubuliana na uvurundaji wake
 
Kitu kikubwa cha kuogofya ni UNAFIKI NA UZANDIKI wa BARAZA kutoa waraka wenye nia ya kugonganisha na kuchonganisha.

LENGO LA WARQKA WA TEC sio maoni bali ni kuzua taharuki miongoni mwa Jamii.

TEC ni chombo cha kanisa hivyo tukiruhusu kanisa au msikiti kutoa matamko kwenye masuala ya kisiasa ni hatari kwa ustawi wa nchi yetu.

Leo waraka umetolewa na TEC, kesho watatoa BAKWATA kutetea kitakacho fuata ni malumbano ya KIDINI.

MIMI NI RC lakini sikubaliani na njia waliyo itumia TEC.

Vikiibuka vita vya kidini hakuna atakaye pona, tusifike huko lakini TEC wanataka kutufikisha huko....hii ni hatari tusiichekelea kwani hakuna atakaye pona
Hivi suala la bandari ni suala la kisiasa au ni la kiuchumi na kitaifa?
 
Mbona unaleta kitisho wa wakatoliki wenzako, umeona wameanzisha chama cha siasa? Jibuni hoja za maaskofu acheni kuwatisha kwa rejea za kimbari ya rwanda wale waliingiwa na chuki za kikabila wakauana kipuuzi
 
Wewe Jamaa nilikua nakuona una akili Jana ulijieleza vizuri sana kuhusu maana ya Ushekhe nikakuelewa Ila leo umetema mashudu kweli mjinga ni mjinga tu hata aweje 👉🚮
Naendelea kusema na hakuna kitu utafanya ... Maana mmeanzisha .

Mjinga wewe na ndugu zako.!!
 
Huu waraka naona umewashika pabaya mno na ni wazi hawana pa kutokea! Si waraka mbaya umesheheni ushauri na tadhahari kwa maslahi ya Watanganyika wote bila kujali imani, itikadi wala asili zao.

Ni waraka usio na chembe ya udini wala itikadi za kisiasa.. Umetembea kwenye mstari wa katiba na sheria za nchi. Ni mkataba uliozingatia kwa asilimia 100 uzalendo, ustawi, utu na urithi wa taifa hili na tunu zake kwa vizazi vya sasa na vijavyo.. Lakini nyuma yake kuna mamlaka inajaribu kuukwamisha kwa kutengeneza watu wasiojitambua kuuhuisha na dini na maisha binafsi ya watu.

Wametengezwa watu wanaohojiwa na kutoa maoni yao. Yaani ni vituko na upuuzi mtupu.. Mpaka unaona kabisa hata huyo aliyewatengeneza akili zake hazina akili kama wao.

Inawezekana kabisa kuna kitu kikubwa zaidi kibaya zaidi cha kuogofya zaidi kuhusiana DPW na Bandari zetu za Tanganyika. Maana baada ya waraka kutoka JK kaibukia huko kwa Wasabato na kutoa nasaha zake zilizoacha maswali mengi kuliko majibu

Mama naye ni mwalikwa huko KKKT sijui atasema nini. Lakini unaweza kutabiri. Chama cha mitume na manabii eti nao wametoa waraka wao unaoupinga wa TEC.

Hizo mbinu zote ni namna ya kutaka kuwatenganisha watanganyika na waraka wa TEC na kutaka kuonesha waraka huo ni wa kikundi cha watu wachache wenye malengo yao mabaya.

TEC hawajakurupuka na hawatajibu mapigo kwakuwa wanajua kwa hakika wanachokifanya na waraka husika utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo bila kukoma mpaka hata asiye na masikio ya kusikia kama kenge asikie.

Hii panic ya kijinga ya kutafuta watu mitaani waupinge waraka haitafika popote. Wasabato, KKKT, Pentecost BAKWATA na wengine wote unganeni na TEC kwenye hili mwisho hauko mbali

Umoja wetu ndio mtaji wetu
Mungu ibariki Tanganyika
Mungu wabariki Watanganyika

View attachment 2723488
Kama kuna waraka mwepesi na umeandikwa kiboya katika waraka zote za TEC basi huu ni mmojawapo. Hata ujumbe wake haueleweki.
 
Hivi mwijaku .......lilivyo Jeusi kama paja la shetani.......lina jipya gani la kumsema yule askofu?? Au Ana mchukuliaje yule askofu.......na upara wake kama button ya jenereta
 
TAFAKARI KWA WAKATOLIKI WENZANGU – GEORGE RUGAMBWA

Tumsifu Yesu Kristo
Amani na Usalama

Nataka niwape tafakari ndogo ya sehemu ya Kanisa Katoliki katika amani na ustawi wa jamii yetu.

Naomba nitumie mfano wa jirani zetu Rwanda mwaka 1994. Idadi ya Wakatoliki ilikuwa 65%, Waprotestanti 9%, Waislamu 1%. Dini nyingine na wasio na dini wanagawana hiyo 25% inayobaki. Kama tunavyojua Rwanda ina makabila makubwa mawili, Wahutu na Watusi. Maaskofu akiwemo aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kigali Vincent Nsengiyumva, wakawa nyuma ya siasa za kibaguzi kwa miaka 14.

Askofu Nsengiyumva akawa Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya National Republican Movement for Democracy and Development (NRMDD) au Kiswahili Vuguvugu la Jamhuri la Demokrasia na Maendeleo. Hiki kilikuwa ndicho chama tawala chini ya Wahutu kuanzia mwaka 1975 hadi mwaka 1994 pale Kagame na Rwandan Patriotic Front (RPF) walipoitwaa Kigali baada ya watu zaidi ya laki nane wengi wao Watusi kupoteza maisha katika mauaji ya Kimbari.

Mwaka 1990 Vatican ilimuonya Askofu Nsengiyumva kuachana na siasa lakini hakutii ipasavyo. Sijui kama mnaelewa.

Huyu alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Kigali Rwanda na wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Chama Tawala na Kiongozi wa Maaskofu wote wa Katoliki Rwanda. Chama chake cha Wahutu kilishiriki kupanga mauaji ya Watusi. Chini ya uongozi wake maaskofu Rwanda waliishi kwenye majumba ya kifahari yakijengwa kwa misamaha ya kodi kwenye huduma na biashara za kanisa.

Juni 7 1994, kikosi kidogo cha Wanajeshi wa Kagame wa RPF walimvamia na kumuua yeye na maaskofu wengine wawili na mapadri kumi na kusema wanahusika kwenye mauaji ya ndugu zao. Askofu Nsengiyumva alikuwa na marafiki maaskofu, mapadri na watawa Tanzania na amefika hapa mara nyingi hadi miaka miwili kabla ya kifo chake.

Wakristo wenzangu, nachotaka kusema ni kwamba viongozi wetu wa dini ni binadamu wenye ajenda zao. Uzuri baadhi ya mambo yao mnayajua pia. Akili za kuambiwa changanya na za kwako.

Nawatakia Ibada Njema ya Jumapili Agosti 20, 2023.

George Rugambwa
Butainamwa, Kagera
Naomba percentage ya Wahutu na Watutsi katika hiyo 65% ya Wakatoliki.
 
Msiwabeze TEC, Kile kikundi cha siasa cha kijani ndio kimesababisha haya. Kwani walikosekana wenye akili wa kupinga vipengele tata vya mkataba ule kwenye hicho kikundi? Hoja hupingwa kwa hoja upuuzi wa kidini usiingizwe hapo. Maaskofu daima wako vizuri
 
Back
Top Bottom