Kinachoendelea Twitter (X) kuhusu maoni ya watu juu ya Waraka wa TEC ni upuuzi mtupu

Different colors, One people

Hawa bodaboda wa Makumbusho ni balaa!

Naomba mwenye picha ya mwenyekiti wa wafanya biashara Kariakoo aipost😀

 
Jamani kwani watu huko kitengoni wameisha!?[emoji23]
 
Huu waraka naona umewashika pabaya mno na ni wazi hawana pa kutokea! Si waraka mbaya umesheheni ushauri na tadhahari kwa maslahi ya Watanganyika wote bila kujali imani...
UKitetewa na watu aina ya huyo Mwijaku ni fadhaa.

Sasa huyo ana sentence gani ya kuweza kuukosoa Waraka?

Walivyo Mapunguani, wanamshambulia mtu aliyetumwa kuwasilisha, hiyo ni dhahiri kuwa hao jamaa ni hamnazo.

Kingine, hao ni swala la muda tu, iwe wametumwa au wamejituma, ni swala la muda.

Wanadhani hivi vitu watu huja navyo kwa kukurupuka?
 
Kaka hata hao umoja wamitume na manabii pia wanahaki ya kupinga uwo waraka wa Tec kwa maana wote sisi ni watanzania

Hila wapinge kwa oja co chuk tu kwahiyo kaka uctake wewe kila mtu awaelewe hao Tec

Na kingine unasema et kuna watu wametengenezwa kupinga tec! Umesahau Tz ina watu wengi na kila mtu yupo na akili zake na kupinga co dhambi hata kma jambo linaukweli
 
Tarehe 25 December 2017, Askofu Zakaria Kakobe akiwa kanisani kwenye ibada ya Christmas, katika kanisa la FGBF Mwenge jijini Dar es Salaam, alinukuliwa akituma salamu kwa Rais wa JMT, Dkt. John P. Magufuli...
Yeye Kakobe ametubu?
 
Huyu unamfahamu? Nenda twitter kwanza kawasikilize kisha urejee hapa kwa mjadala
 
Kwa Rais Mstaafu @jmkikwete na mnaosema Baraza La Maaskofu wana chuki za kidini. Naombeni mnieleweshe:

- Baraza hili la maakofu (TEC) mwaka 2018 lilipotoa waraka wa Pasaka wa kupinga mauaji na utekaji wa watu uliofanywa na Serikali ya Jiwe walikua na vhuki ya Kidini na 'Mkatoliki' Mwenzao Magufuli?

- Mmesahau Askofu Severine Niwemuguzi alinyang’anywa Passport na kuambiwa sio raia kwa sababu ya kupinga uonevu wa
Jiwe, alikua na chuki na Mkatoliki mwenzake?

- Wakati wa COVID Baraza La Maaskofu lilipotoa waraka wa kumpinga Magufuli kuwa COVID haipo na kutaka serikali iruhusu watu wapewe chanjo, walikua na chuki za kidini na Magufuli Mkristo mwenzao?

- Walivyo kemea madudu ya uchaguzi wa 2020 walikuwa na chuki za kidini na Magufuli Mkristo mwenzao?

- Kama kila wakati kukiwa na mjadala wa kitaifa wanatoa Waraka, na hamkuwai kuona shida, kwanini mnataka sasa wasitoe?

- Kwahiyo wakitoa kwa Mkristo mwenzao sio chuki? Wakitoa sasa kwa Muislam ndio wana chuki?
 
Mnaoishi nao hao Watanzania kweli mliumbwa na Mioyo
 
Hao ni wajanja kama wanasiasa, wanajua msiojielewa mtamezwa kwenye hizo points zao walizozianisha vizuri. Kinachotia shaka ni kuwa hakuna majibu katika maswali juu ya mamia ya mikataba ya madini na gesi inayohusu wazungu. Mbona huwa hazitoki waraka kukemea huo unyonyaji? Kwanini?!!!!!!!

Watu wanapokosa majibu wanaamua kufanya reference na kuhitimisha hivyo bila kuhangaika na blah blah za vifungu vya katiba. Wakiamua wanaviweka tu.
 
Huyu mchimba chumvi wa morogoro namjua hadi chumba alichokuwa analala...
Kwa heshima ya familia yake ya Mzee Mwemba kwa sasa nitakaa kimya...
Mpuuzeni tu....
 
Shikamoo waraka wa TEC, Kati ya nyaraka walizowahi kutoa TEC huu umebamba na ku cover angle zote. Wametembea na katiba mwanzo hadi mwisho. Washenzi na machawa hawachomoki hapa. Watachomoka kwa hoja ipi wakitumia katiba? Hawa maaskofu ni next level sidhani kwamba kuna wengine nao watatoa waraka kuwapinga kwa katiba ile ile labda watumie upuuzi wa kidini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…