Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

Jamani aliyeelewa anieleweshe,, kazi zimeombwa wakati mmoja Tz yote Why ufanyajinkazi uwe kwa awamu ilhali mwaka huu Nchini kote Kuna uchanguzi wa serikali za mitaa..?
1. Uchaguzi wa Serikali za Mtaa (SM) hausimamiwi na Tume Huru ya Uchaguzi hivyo uandikishaji huu hauwahusu.
2. TAMISEMI watasimamia uchaguzi wa SM, wataandikisha kivyao muda ukifika.
3. Mashine za kuandikishia (BVR) za Tume ni chache, zinahamishwa mkoa kwa mkoa ndio maana wanafanya kwa awamu.
 
Yes nandomana Zoezi la uandikishaji linafika mpaka mwakani mwezi wa sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…