Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

20240622_172523.jpg
 
Kwan daftari la mpiga kura wameshaita watu?
Watu wanaita kwa awamu..zoezi la uandikishaji linafanyika kwa awamu sio mara moja nchi nzima...hivyo wameanza na kigoma tarehe 20 na majina yametoka ya huko....walitangaza taarifa za mikoa inayofuata itakuwa inatoka kwenye vyombo vya habari...
Mfano baada ya kigoma unafuata mkoa wa tabora na katavi hivyo tunategemea majina ya mikoa hiyo walioomba kazi yatatoka kwenye ofisi za watendaji wa kata tulikoombea
 
RATIBA YA NEC (INEC TANZANIA)

Mwanza na Shinyanga 21/8/2024 hadi 27/8/2024. ❤️

Mara, Simiyu na Manyara ktk halmashauri za wilaya ya Babati, Hanang, Mbulu na mji wa Babati 4/9/2024 hadi 10/9/2024. ❤️

Kilimanjaro, Arusha na Manyara ktk halmashauri za wilaya ya Kiteto, Simanjiro na mji wa Mbulu. 25/9/2024 hadi 1/10/2024. ❤️

Zanzibar 7/10/2024 hadi 13/10/2024. ❤️

Singida, Dodoma ktk halmashauri za wilaya ya Chamwino, Kongwa, Chemba, Bahi, Kondoa, mji wa Kondoa, na jiji la Dodoma 11/12/2024 hadi 17/12/2024 ❤️

Iringa, Mbeya na Dodoma ktk halmashauri za wilaya ya Mpwapwa, 27/12/2024 hadi 2/1/2025 ❤️

Njombe, Rukwa, Songwe na Ruvuma ktk halmashauri za wilaya ya Nyasa, Mbinga, wilaya ya Songea na manispaa ya Songea 12/1/2025 hadi 18/1/2025 ❤️

Mtwara, Lindi na Ruvuma ktk halmashauri za wilaya ya Madaba, Namtumbo na Tunduru. 28/1/2025 hadi 3/2/2025 ❤️

Pwani na Tanga ktk halmashauri za wilaya ya Lushoto, Kilindi, Muheza, Korogwe, mji wa Korogwe, mji wa Handeni na jiji la Tanga 13/2/2025 hadi 19/2/2025. ❤️

Morogoro na Tanga ktk halmashauri za wilaya ya Bumbuli, Handeni, Pangani na Mkinga 1/3/2025 hadi 7/3/2025 ❤️

Dar es salaam 😂😂 17/3/2025 hadi 23/3/2025.

Na hiyo ndiyo RATIBA ya zoezi la Uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura 😍😍 Nawasilisha mimi🦚🦚
 
RATIBA YA NEC (INEC TANZANIA)

Mwanza na Shinyanga 21/8/2024 hadi 27/8/2024. [emoji3590]

Mara, Simiyu na Manyara ktk halmashauri za wilaya ya Babati, Hanang, Mbulu na mji wa Babati 4/9/2024 hadi 10/9/2024. [emoji3590]

Kilimanjaro, Arusha na Manyara ktk halmashauri za wilaya ya Kiteto, Simanjiro na mji wa Mbulu. 25/9/2024 hadi 1/10/2024. [emoji3590]

Zanzibar 7/10/2024 hadi 13/10/2024. [emoji3590]

Singida, Dodoma ktk halmashauri za wilaya ya Chamwino, Kongwa, Chemba, Bahi, Kondoa, mji wa Kondoa, na jiji la Dodoma 11/12/2024 hadi 17/12/2024 [emoji3590]

Iringa, Mbeya na Dodoma ktk halmashauri za wilaya ya Mpwapwa, 27/12/2024 hadi 2/1/2025 [emoji3590]

Njombe, Rukwa, Songwe na Ruvuma ktk halmashauri za wilaya ya Nyasa, Mbinga, wilaya ya Songea na manispaa ya Songea 12/1/2025 hadi 18/1/2025 [emoji3590]

Mtwara, Lindi na Ruvuma ktk halmashauri za wilaya ya Madaba, Namtumbo na Tunduru. 28/1/2025 hadi 3/2/2025 [emoji3590]

Pwani na Tanga ktk halmashauri za wilaya ya Lushoto, Kilindi, Muheza, Korogwe, mji wa Korogwe, mji wa Handeni na jiji la Tanga 13/2/2025 hadi 19/2/2025. [emoji3590]

Morogoro na Tanga ktk halmashauri za wilaya ya Bumbuli, Handeni, Pangani na Mkinga 1/3/2025 hadi 7/3/2025 [emoji3590]

Dar es salaam [emoji23][emoji23] 17/3/2025 hadi 23/3/2025.

Na hiyo ndiyo RATIBA ya zoezi la Uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura [emoji7][emoji7] Nawasilisha mimi[emoji3077][emoji3077]
Hii ni kweli???
 
Back
Top Bottom