James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Majina yametoka mzee, kuanzia juziKwan daftari la mpiga kura wameshaita watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina yametoka mzee, kuanzia juziKwan daftari la mpiga kura wameshaita watu?
Mi niliomba hata Sina habari kama zimetoka..na interview ni lini?Majina yametoka mzee, kuanzia juzi
Mkuu wabebe CVs za watu Nchi nzima hii , watajaza kontena ngapi?, kila kitu kiliishia Halimashauri, Dodoma wanapeleka , database Tu 😂Kama kuna interview basi huko ni kusumbuana pro max na hakukua na haja ya kukusanya hizo docs ziende Idodomya.
Mkoa gani uliomba?Mi niliomba hata Sina habari kama zimetoka..na interview ni lini?
SingidaMkoa gani uliomba?
Interview za hivyo labda uende ili kupata experience tu ila sio kutegemea upate hiyo kaziWatu 1000 juzi wamefanya interview anahitajika mtu mmoja
Deal na afisa mtendajiInterview za hivyo labda uende ili kupata experience tu ila sio kutegemea upate hiyo kazi
SingidaMkoa gani uliomba?
yametoka nchi nzima au kigoma tu? sababu yalotoka ni ya kigoma , au umeona wapi pengine yametoka mkuu?Majina yametoka mzee, kuanzia juzi
Watu wanaita kwa awamu..zoezi la uandikishaji linafanyika kwa awamu sio mara moja nchi nzima...hivyo wameanza na kigoma tarehe 20 na majina yametoka ya huko....walitangaza taarifa za mikoa inayofuata itakuwa inatoka kwenye vyombo vya habari...Kwan daftari la mpiga kura wameshaita watu?
Majina yametoka ya kigoma tu mpaka mkoa wako ufikiwe kwenye uandikishaji ndio majina yanatokaUmeyaona wapi Mkuu...!?
🙌🙌🙌🙌Majina yametoka ya kigoma tu mpaka mkoa wako ufikiwe kwenye uandikishaji ndio majina yanatoka
Hii ni kweli???RATIBA YA NEC (INEC TANZANIA)
Mwanza na Shinyanga 21/8/2024 hadi 27/8/2024. [emoji3590]
Mara, Simiyu na Manyara ktk halmashauri za wilaya ya Babati, Hanang, Mbulu na mji wa Babati 4/9/2024 hadi 10/9/2024. [emoji3590]
Kilimanjaro, Arusha na Manyara ktk halmashauri za wilaya ya Kiteto, Simanjiro na mji wa Mbulu. 25/9/2024 hadi 1/10/2024. [emoji3590]
Zanzibar 7/10/2024 hadi 13/10/2024. [emoji3590]
Singida, Dodoma ktk halmashauri za wilaya ya Chamwino, Kongwa, Chemba, Bahi, Kondoa, mji wa Kondoa, na jiji la Dodoma 11/12/2024 hadi 17/12/2024 [emoji3590]
Iringa, Mbeya na Dodoma ktk halmashauri za wilaya ya Mpwapwa, 27/12/2024 hadi 2/1/2025 [emoji3590]
Njombe, Rukwa, Songwe na Ruvuma ktk halmashauri za wilaya ya Nyasa, Mbinga, wilaya ya Songea na manispaa ya Songea 12/1/2025 hadi 18/1/2025 [emoji3590]
Mtwara, Lindi na Ruvuma ktk halmashauri za wilaya ya Madaba, Namtumbo na Tunduru. 28/1/2025 hadi 3/2/2025 [emoji3590]
Pwani na Tanga ktk halmashauri za wilaya ya Lushoto, Kilindi, Muheza, Korogwe, mji wa Korogwe, mji wa Handeni na jiji la Tanga 13/2/2025 hadi 19/2/2025. [emoji3590]
Morogoro na Tanga ktk halmashauri za wilaya ya Bumbuli, Handeni, Pangani na Mkinga 1/3/2025 hadi 7/3/2025 [emoji3590]
Dar es salaam [emoji23][emoji23] 17/3/2025 hadi 23/3/2025.
Na hiyo ndiyo RATIBA ya zoezi la Uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura [emoji7][emoji7] Nawasilisha mimi[emoji3077][emoji3077]
NdioHii ni kweli???
Wapi?Leo wameanza kusajili wananchi
YANGA pale jangwaniLeo wameanza kusajili wananchi