AaahaaaKinachoendelea ulaya baada ya mchezaji wa Mpira kareem benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina
— France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
— MP in France wants to revoke his citizenship
— A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
HAMAS limeundwa na Israel Na Taliban limeundwa na USA.Mambo mengine ni ya ajabu sana hivi hapa anasupport Palestine au unasuport Hamas maana kile kitendo cha Hamas kwenda kuua raia wasio na hatia tena bila kujali ni mtoto, mzee, mgonjwa, mkristo muislam au myahudi ule ni zaidi ya unyama na wanapaswa kuingia gharama kwa kile walichokifanya.
Hamas wasitumie raia wa palestine kama ngao ya kuficha uovu wao. Kwani Somalia wao mbona ni jamii moja na dini moja lakini bado wanachinjana? huyo Benzema mbona hakuwahi kukemea kundi la Al shabab? Tuache unafiki haya makundi ya namna hii sio ya kuyatetea, hata hayo makundi yakishika madaraka huwatesa raia wao kisha hao raia wanaanza kukimbia nchi zao na kwenda huko Ulaya mfano Talebani.
Wapumbavu...Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina
— France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
— MP in France wants to revoke his citizenship
— A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
Toka lini muislam akajali wenzie wa dini nyingine..? Usilam ni unyama na ugaidi..NAOMBA KUJUZWA JE NI KWANINI WATU HAWAKEMEI KITENDO CHA HAMAS KUIVAMIA ISRAEL NA KUINGIA KWENYE FESTVAL NA KUUWA WATU MAMIA? KUVAMIWA ISRAEL KWANINI IONEKANE KAMA JAMBO JEMA TU?, DUNIA HAIPO SAWA KWA HILI.
Safi sana, hapa nakubaliana na weweHAMAS limeundwa na Israel Na Taliban limeundwa na USA.
Yaani israel ijiundie adui kisha ianze kupambana na adui aliyemtengeneza mwenyewe, how come, are you serious?HAMAS limeundwa na Israel Na Taliban limeundwa na USA.
Na Palestina wanauliwa with or Without Hamas, Western Bank kuna Hamas? Si Hamna kule? Wale si wana Amani? Mbona wanauliwa na Amani yao? For your Information toka hii vita ya Gaza Ianze wiki iliopita Tayari Wapalestina 54 wa Western Bank wamefariki na wengine zaidi ya 1000 wamejeruhiwa, kama Israel inapigana na Hamas why waue na Western Bank ambapo Hamna Hamas?
Unahitaji kuwa Binadamu tu kutambua huu ni uonevu
Ndio ninamfahamu baba Mwajuma ndala ndefu leoHAMAS limeundwa na Israel Na Taliban limeundwa na USA.
Na Palestina wanauliwa with or Without Hamas, Western Bank kuna Hamas? Si Hamna kule? Wale si wana Amani? Mbona wanauliwa na Amani yao? For your Information toka hii vita ya Gaza Ianze wiki iliopita Tayari Wapalestina 54 wa Western Bank wamefariki na wengine zaidi ya 1000 wamejeruhiwa, kama Israel inapigana na Hamas why waue na Western Bank ambapo Hamna Hamas?
Unahitaji kuwa Binadamu tu kutambua huu ni uonevu
Hakuna mtu anaekasrika Mtu yoyote akipigana na yoyote. Ila watu wanakasirika raia wa sio na hatia kuuliwa. Juzi Hospitali, kabla ya hapo Hospitali nyengine, jana wamepiga Bakery, then baadae Apartment, Hadi Kituo Cha Un ambacho kilihifadhi wakimbizi kimepigwa, so far hakuna data zozote wamekufa Hamas wangapi, kuna uwezekano Hamas waliokufa hata 100 hawafiki, ila wanawake na watoto? Maelfu wamekufa, Inshort Majority ya waliokufa ni wanawake na watoto.Safi sana, hapa nakubaliana na wewe
Sasa kwanini Israel akipambana na kundi la HAMAS ambalo ni yeye mwenyewe kalianzisha unakasirika?
Na kwanini US akipambana na Taliban ambalo ni kundi mwenyewe kalianzisha wewe hutaki??
Sio Maneno yangu, issue ya Israel kutengeneza na kutoa Fedha kwa Hamas sio siri viongozi kibao wa Israel wamekiri na Ushahidi huuYaani israel ijiundie adui kisha ianze kupambana na adui aliyemtengeneza mwenyewe, how come, are you serious?
Israel imekalia ardhi ya palestina kimabavuNAOMBA KUJUZWA JE NI KWANINI WATU HAWAKEMEI KITENDO CHA HAMAS KUIVAMIA ISRAEL NA KUINGIA KWENYE FESTVAL NA KUUWA WATU MAMIA? KUVAMIWA ISRAEL KWANINI IONEKANE KAMA JAMBO JEMA TU?, DUNIA HAIPO SAWA KWA HILI.
Mchezaji.mjinga huyo uhuru wa kujieleza una mipaka mfano huwezi kwenda kuwa mwandishi wa habari Istael ukaandika makala ya kumsig8a Hitler aliyeua wayahudi mamilioniKinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina
— France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
— MP in France wants to revoke his citizenship
— A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
KabisaBenzema ana mwonekano wa kigaidi