matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kila zama huwa wanaujinga wao.Hao wazungu wa enzi hizo waliona kufanya biashara ya utumwa na kutawala mataifa mengine ni jambo la kifahari😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila zama huwa wanaujinga wao.Hao wazungu wa enzi hizo waliona kufanya biashara ya utumwa na kutawala mataifa mengine ni jambo la kifahari😂😂
Hao wanaokufa ndio Hamasi wenyewe sasa ndio maana makelele yamezidi kwa Wana jihad wenzao.Hakuna mtu anaekasrika Mtu yoyote akipigana na yoyote. Ila watu wanakasirika raia wa sio na hatia kuuliwa. Juzi Hospitali, kabla ya hapo Hospitali nyengine, jana wamepiga Bakery, then baadae Apartment, Hadi Kituo Cha Un ambacho kilihifadhi wakimbizi kimepigwa, so far hakuna data zozote wamekufa Hamas wangapi, kuna uwezekano Hamas waliokufa hata 100 hawafiki, ila wanawake na watoto? Maelfu wamekufa, Inshort Majority ya waliokufa ni wanawake na watoto.
Mtu yoyote yule Awe Israel awe Hamas, Awe Usa, awe Babaako ama Babaangu ni Cowards na mpuuzi wa mwisho dunia hii kama njia yake ya kupigana vita ni kutarget wanawake na watoto, Mrembe utakavyomremba ila huo ndio ukweli.
Basi tukubaliane Hamas ni Wakristo na Wameletwa na AnglikanaHao wanaokufa ndio Hamasi wenyewe sasa ndio maana makelele yamezidi kwa Wana jihad wenzao.
Hakuna mfanano hata kidogo.kasome mambo ya rwanda jinsi anavyopata utajiri congo.
Jeshi la HAMAS linakaa wapi?Hakuna mtu anaekasrika Mtu yoyote akipigana na yoyote. Ila watu wanakasirika raia wa sio na hatia kuuliwa. Juzi Hospitali, kabla ya hapo Hospitali nyengine, jana wamepiga Bakery, then baadae Apartment, Hadi Kituo Cha Un ambacho kilihifadhi wakimbizi kimepigwa, so far hakuna data zozote wamekufa Hamas wangapi, kuna uwezekano Hamas waliokufa hata 100 hawafiki, ila wanawake na watoto? Maelfu wamekufa, Inshort Majority ya waliokufa ni wanawake na watoto.
Mtu yoyote yule Awe Israel awe Hamas, Awe Usa, awe Babaako ama Babaangu ni Cowards na mpuuzi wa mwisho dunia hii kama njia yake ya kupigana vita ni kutarget wanawake na watoto, Mrembe utakavyomremba ila huo ndio ukweli.
kwa maana hiyo walipokuwa wakiuwawa wapalestina kila kuchwapo ni sahihi sababu israil ni taifa lenu teule ama sio hivyoMambo mengine ni ya ajabu sana hivi hapa anasupport Palestine au unasuport Hamas maana kile kitendo cha Hamas kwenda kuua raia wasio na hatia tena bila kujali ni mtoto, mzee, mgonjwa, mkristo muislam au myahudi ule ni zaidi ya unyama na wanapaswa kuingia gharama kwa kile walichokifanya.
Hamas wasitumie raia wa palestine kama ngao ya kuficha uovu wao. Kwani Somalia wao mbona ni jamii moja na dini moja lakini bado wanachinjana? huyo Benzema mbona hakuwahi kukemea kundi la Al shabab? Tuache unafiki haya makundi ya namna hii sio ya kuyatetea, hata hayo makundi yakishika madaraka huwatesa raia wao kisha hao raia wanaanza kukimbia nchi zao na kwenda huko Ulaya mfano Talebani.
Unafiki wa walimwengu. Ilipaswa waislamu kama wanavyokemea mashambulizi ya Israel ingeenda sanjari na kukemea kwanza Hamas kuua raia kwenye tamasha. Hamas ana makosa hivyohivyo Israel. Kukemea kusiwe na ubaguzi.NAOMBA KUJUZWA JE NI KWANINI WATU HAWAKEMEI KITENDO CHA HAMAS KUIVAMIA ISRAEL NA KUINGIA KWENYE FESTVAL NA KUUWA WATU MAMIA? KUVAMIWA ISRAEL KWANINI IONEKANE KAMA JAMBO JEMA TU?, DUNIA HAIPO SAWA KWA HILI.
Palestine and Hamas are one!Jeshi la HAMAS linakaa wapi?
Kwanini watu wanaruhusu HAMAS wapaki makombora yao kwenye huduma za watu na makazi ya watu???
Halafu hawataki kuvaa uniform, wakianza kupigwa wanakimbilia kwa raia?
Swali hili naliuza mara 100 na zaidi na wapenda amani wengine duniani, West Bank kuna Hamas? Na wao wanauliwa sababu gani?Jeshi la HAMAS linakaa wapi?
Kwanini watu wanaruhusu HAMAS wapaki makombora yao kwenye huduma za watu na makazi ya watu???
Halafu hawataki kuvaa uniform, wakianza kupigwa wanakimbilia kwa raia?
Angekuwa anapambana na HAMAS isingekuwa shida, tatizo anatumia excuse ya kupambana na HAMAS ili kufanikisha ajenda yake pana zaidi ya kudemonise wapalestina, kuwatia kibano ili aendelee na mkakati wake wa kuwatimua ktk ile ardhi kwa kisingizio cha self defenseSafi sana, hapa nakubaliana na wewe
Sasa kwanini Israel akipambana na kundi la HAMAS ambalo ni yeye mwenyewe kalianzisha unakasirika?
Na kwanini US akipambana na Taliban ambalo ni kundi mwenyewe kalianzisha wewe hutaki??
Quran tukutu inawaamrisha kuuwa wayahudi.Toka lini muislam akajali wenzie wa dini nyingine..? Usilam ni unyama na ugaidi..
Sawa kuruan tukufu kwa lipi..? Wakati imejaa kuchinja..? Na mtulie sasa gaza ikikarabatiwa yaani gaza inabatizwa kwa motoQuran tukutu inawaamrisha kuuwa wayahudi.
Kuna busara kubwa TATU za msingi zitumike kwa kuanzia.Angekuwa anapambana na HAMAS isingekuwa shida, tatizo anatumia excuse ya kupambana na HAMAS ili kufanikisha ajenda yake pana zaidi ya kudemonise wapalestina, kuwatia kibano ili aendelee na mkakati wake wa kuwatimua ktk ile ardhi kwa kisingizio cha self defense
Kuna busara kubwa TATU za msingi zitumike kwa kuanzia.
- Kwanza usijiingize kwenye vita ambayo huna uhakika wa kushinda.
- Wapalestina wajitenge na HAMAS, Kwasababu siyo kundi pekee linalotafuta haki ya wapalestina. Isipokuwa HAMAS ni kundi pekee linaloamini kwenye vita.
- HAMAS wawe na makao yao mbali na makazi ya watu, na makombora yao yawekwe kwenue maeneo yao siyo kwenye makazi ya watu, mashuleni au kwenye huduma za afya.
Sasa Kama wamechagua vita, watajijua wenyewe.Sasa usipopambana si ndo unamalizwa kabisa?
Kustruggle kujikomboa ni haki, mnyonge akifa wakati wa kutafuta kujikomboa, lawama haiwezi kwenda kwake, lawama inaenda kwa Muonevu anayemkandamiza mwenzie
Inawezekana mkuu, unawajua mujahedeen wa afghanistan walivokuwa pete na kidole na us, unajua jinsi walivokuja kumgekua us na kumfanya vibaya.Yaani israel ijiundie adui kisha ianze kupambana na adui aliyemtengeneza mwenyewe, how come, are you serious?
Ndiyo sababu ya HAMAS kuvamia sherehee? Na inakupa uhalali wa wewe kwenda kuvamia anakalia Ardhi yako kimabavu? Wale waliokuwa kwenye sherehe walikuwa na kosa ganiIsrael imekalia ardhi ya palestina kimabavu
Wewe mtu mtemi akikuonea huwa unafanyaje?Ndiyo sababu ya HAMAS kuvamia sherehee? Na inakupa uhalali wa wewe kwenda kuvamia anakalia Ardhi yako kimabavu? Wale waliokuwa kwenye sherehe walikuwa na kosa gani