Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

Hakuna mtu anaekasrika Mtu yoyote akipigana na yoyote. Ila watu wanakasirika raia wa sio na hatia kuuliwa. Juzi Hospitali, kabla ya hapo Hospitali nyengine, jana wamepiga Bakery, then baadae Apartment, Hadi Kituo Cha Un ambacho kilihifadhi wakimbizi kimepigwa, so far hakuna data zozote wamekufa Hamas wangapi, kuna uwezekano Hamas waliokufa hata 100 hawafiki, ila wanawake na watoto? Maelfu wamekufa, Inshort Majority ya waliokufa ni wanawake na watoto.

Mtu yoyote yule Awe Israel awe Hamas, Awe Usa, awe Babaako ama Babaangu ni Cowards na mpuuzi wa mwisho dunia hii kama njia yake ya kupigana vita ni kutarget wanawake na watoto, Mrembe utakavyomremba ila huo ndio ukweli.
Hamas wanaenda kuua watoto majumbani na kwenye sherehe hakuna anayesema.kitu.

Halafu hao henchmen wako wanaenda kujificha katikati ya raia na kutusha makombora kwa afui yao, unataka kusema kuwa ni sahihi kuwagumia raia kama ngao?

Waambieni HAMAS waingie battlefield wasifichame kwenye majengo na makusanyiko ya raia.

Yale makombora zaidi ya 10,000 waliyoyarusha kuelekea Israel, waliepusha nyumba za raia wa Israel?

Mimi nasimama na Amani
 
Wafaransa Hawa Hawa wanaoendesha operation za Gizani Afrika na kupelekea vifo vya mamilioni ya watu wanamhukumu Benzema kwa kuchagua upande.
Mapunga.
 
Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

— France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
— MP in France wants to revoke his citizenship
— A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
Halafu hao hao wanao msema Benzema wanahamasisha uhuru wa kuongea, hapo ndipo unaposhangaa.
 
Attachments

  • IMG_20231019_070102_470.jpg
    IMG_20231019_070102_470.jpg
    36.4 KB · Views: 2
Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;
Amosi 1:6

lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
Amosi 1:7
 
HAMAS limeundwa na Israel Na Taliban limeundwa na USA.

Na Palestina wanauliwa with or Without Hamas, Western Bank kuna Hamas? Si Hamna kule? Wale si wana Amani? Mbona wanauliwa na Amani yao? For your Information toka hii vita ya Gaza Ianze wiki iliopita Tayari Wapalestina 54 wa Western Bank wamefariki na wengine zaidi ya 1000 wamejeruhiwa, kama Israel inapigana na Hamas why waue na Western Bank ambapo Hamna Hamas?

Unahitaji kuwa Binadamu tu kutambua huu ni uonevu
wameuliwa bila sababu? fool
 
NAOMBA KUJUZWA JE NI KWANINI WATU HAWAKEMEI KITENDO CHA HAMAS KUIVAMIA ISRAEL NA KUINGIA KWENYE FESTVAL NA KUUWA WATU MAMIA? KUVAMIWA ISRAEL KWANINI IONEKANE KAMA JAMBO JEMA TU?, DUNIA HAIPO SAWA KWA HILI.
Kwa sababu wamefanya hivyo kwa sababu ya uonevu wa Israel.
 
Na mm naomba nikuulize mkuu...Kuna taarifa za mauaji ya raia wa Palestina kwa miaka mingi sana lakini hatujawahi kusikia jumuia za kimataifa zikilaani na kuchukua hatua zzte au uhai wa binadamu una classification...wpo wale ambao kuuwawa ni sawa kabisa na wengine wakiuwawa basi ni kosa kubwa kwlikwli...tukianza ku condemn walichokifanya Hamas basi inabidi pia tuwe fair na ku condemn wanachokifanya Israel miaka mingi Sasa...na hapo ndo tutakuwa fair...maisha ya watu Yana thamani...uwe mzungu...muafrika...muarabu...mzayuni...muhindi na race yyte ile
NAOMBA KUJUZWA JE NI KWANINI WATU HAWAKEMEI KITENDO CHA HAMAS KUIVAMIA ISRAEL NA KUINGIA KWENYE FESTVAL NA KUUWA WATU MAMIA? KUVAMIWA ISRAEL KWANINI IONEKANE KAMA JAMBO JEMA TU?, DUNIA HAIPO SAWA KWA HILI.
 
NAOMBA KUJUZWA JE NI KWANINI WATU HAWAKEMEI KITENDO CHA HAMAS KUIVAMIA ISRAEL NA KUINGIA KWENYE FESTVAL NA KUUWA WATU MAMIA? KUVAMIWA ISRAEL KWANINI IONEKANE KAMA JAMBO JEMA TU?, DUNIA HAIPO SAWA KWA HILI.
Hata mimi ndo swali najiuliza.
 
Hamas wanaenda kuua watoto majumbani na kwenye sherehe hakuna anayesema.kitu.

Halafu hao henchmen wako wanaenda kujificha katikati ya raia na kutusha makombora kwa afui yao, unataka kusema kuwa ni sahihi kuwagumia raia kama ngao?

Waambieni HAMAS waingie battlefield wasifichame kwenye majengo na makusanyiko ya raia.

Yale makombora zaidi ya 10,000 waliyoyarusha kuelekea Israel, waliepusha nyumba za raia wa Israel?

Mimi nasimama na Amani
Unaweza ukanipa Source yoyote Hamas karusha Makombora 10000?

Na nimeuliza swali ambalo swali dunia nzima linaulizwa ila nyie pro Israel hamjibu.

Hamas wapo Gaza tu, Mbona Western Bank nao wanauliwa?

Ingekua Israel wanapigana na Hamas tulutegemea angefocus kwao tu ila tunaona anaua bila Kuchagua, Wapalestina kwake ni kama mifugo tu anaamua aue yupi.
 
Safi sana, hapa nakubaliana na wewe

Sasa kwanini Israel akipambana na kundi la HAMAS ambalo ni yeye mwenyewe kalianzisha unakasirika?

Na kwanini US akipambana na Taliban ambalo ni kundi mwenyewe kalianzisha wewe hutaki??
kasome mambo ya rwanda jinsi anavyopata utajiri congo.
 
wameuliwa bila sababu? fool
Hebu niambie wewe Western Bank wame fanya nini Vita hii? Jana Nimeandika wamefariki around 50 mpaka leo wameshafika 60 na kitu. Watoto wawili wameuliwa sababu walikua wanachoma matairi.

Just imagine jitu zima lina Silaha lipo Equiped linaua Vitoto sababu wanachoma matairi.

Wengine wanaua tu for fun unakuta Sniper Wa Israel anawashwa washa kufyatua Bunduki yake anaenda kupractice kwa watu. Angalia hii video halafu niambie huyu mtu anastahili hata kutwa Binadamu?

Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

— France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
— MP in France wants to revoke his citizenship
— A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
Muislam ndugu yake Muislam
 
Back
Top Bottom