Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Na hapo hatujaongelea ukwapuzi wa ardhi unaofanywa na walowezi wa Kizayuni miaka yote hii , hata UN land resolution ya miaka ile haitiliwi maanani na wazayuni ,wapumbavu wanatoka huko ulaya kwa kufadhiliwa na Israel wanakuja kuchoma mashamba na makazi ya wapalestina na kukalia kimabavu ,bado harrassment , mashambulizi yasiyoisha yanafanyika kwa wapalestina kila kukicha miaka yote hiyo .
Ni nani anayewatetea wapalestina ?
Kilichofanyika kwa wapalestina miaka 75 hii sasa tangia uvamizi wa wayahudi feki toka Ulaya kina kila sifa ya ethnic cleansing na genocide .
Ni nani wa kuvumilia ujinga na upuuzi kama huo ?
Hao wanaofanyiwa hayo mambo wakae tu wanaangalia ?