Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

Hamas wanaenda kuua watoto majumbani na kwenye sherehe hakuna anayesema.kitu.

Halafu hao henchmen wako wanaenda kujificha katikati ya raia na kutusha makombora kwa afui yao, unataka kusema kuwa ni sahihi kuwagumia raia kama ngao?

Waambieni HAMAS waingie battlefield wasifichame kwenye majengo na makusanyiko ya raia.

Yale makombora zaidi ya 10,000 waliyoyarusha kuelekea Israel, waliepusha nyumba za raia wa Israel?


Mimi nasimama na Amani
 
Wafaransa Hawa Hawa wanaoendesha operation za Gizani Afrika na kupelekea vifo vya mamilioni ya watu wanamhukumu Benzema kwa kuchagua upande.
Mapunga.
 
Halafu hao hao wanao msema Benzema wanahamasisha uhuru wa kuongea, hapo ndipo unaposhangaa.
 
Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;
Amosi 1:6

lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
Amosi 1:7
 
wameuliwa bila sababu? fool
 
NAOMBA KUJUZWA JE NI KWANINI WATU HAWAKEMEI KITENDO CHA HAMAS KUIVAMIA ISRAEL NA KUINGIA KWENYE FESTVAL NA KUUWA WATU MAMIA? KUVAMIWA ISRAEL KWANINI IONEKANE KAMA JAMBO JEMA TU?, DUNIA HAIPO SAWA KWA HILI.
Kwa sababu wamefanya hivyo kwa sababu ya uonevu wa Israel.
 
Na mm naomba nikuulize mkuu...Kuna taarifa za mauaji ya raia wa Palestina kwa miaka mingi sana lakini hatujawahi kusikia jumuia za kimataifa zikilaani na kuchukua hatua zzte au uhai wa binadamu una classification...wpo wale ambao kuuwawa ni sawa kabisa na wengine wakiuwawa basi ni kosa kubwa kwlikwli...tukianza ku condemn walichokifanya Hamas basi inabidi pia tuwe fair na ku condemn wanachokifanya Israel miaka mingi Sasa...na hapo ndo tutakuwa fair...maisha ya watu Yana thamani...uwe mzungu...muafrika...muarabu...mzayuni...muhindi na race yyte ile
NAOMBA KUJUZWA JE NI KWANINI WATU HAWAKEMEI KITENDO CHA HAMAS KUIVAMIA ISRAEL NA KUINGIA KWENYE FESTVAL NA KUUWA WATU MAMIA? KUVAMIWA ISRAEL KWANINI IONEKANE KAMA JAMBO JEMA TU?, DUNIA HAIPO SAWA KWA HILI.
 
NAOMBA KUJUZWA JE NI KWANINI WATU HAWAKEMEI KITENDO CHA HAMAS KUIVAMIA ISRAEL NA KUINGIA KWENYE FESTVAL NA KUUWA WATU MAMIA? KUVAMIWA ISRAEL KWANINI IONEKANE KAMA JAMBO JEMA TU?, DUNIA HAIPO SAWA KWA HILI.
Hata mimi ndo swali najiuliza.
 
Unaweza ukanipa Source yoyote Hamas karusha Makombora 10000?

Na nimeuliza swali ambalo swali dunia nzima linaulizwa ila nyie pro Israel hamjibu.

Hamas wapo Gaza tu, Mbona Western Bank nao wanauliwa?

Ingekua Israel wanapigana na Hamas tulutegemea angefocus kwao tu ila tunaona anaua bila Kuchagua, Wapalestina kwake ni kama mifugo tu anaamua aue yupi.
 
Safi sana, hapa nakubaliana na wewe

Sasa kwanini Israel akipambana na kundi la HAMAS ambalo ni yeye mwenyewe kalianzisha unakasirika?

Na kwanini US akipambana na Taliban ambalo ni kundi mwenyewe kalianzisha wewe hutaki??
kasome mambo ya rwanda jinsi anavyopata utajiri congo.
 
wameuliwa bila sababu? fool
Hebu niambie wewe Western Bank wame fanya nini Vita hii? Jana Nimeandika wamefariki around 50 mpaka leo wameshafika 60 na kitu. Watoto wawili wameuliwa sababu walikua wanachoma matairi.

Just imagine jitu zima lina Silaha lipo Equiped linaua Vitoto sababu wanachoma matairi.

Wengine wanaua tu for fun unakuta Sniper Wa Israel anawashwa washa kufyatua Bunduki yake anaenda kupractice kwa watu. Angalia hii video halafu niambie huyu mtu anastahili hata kutwa Binadamu?

 
Muislam ndugu yake Muislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…