Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

Clandestine ni blanket term inayohusisha infiltration
 
Huku kwetu ni Amani ndio maana wanafanikiwa kupanga mashambulizi lkn kwenye vitendo wana angukia pua
 
Saudia nao zamu yao kuja kuvurugwa kiuchumi kama nchi nyingine za kiarabu yaja tu ipo siku yao sema wao wajanja hawaiingilii masilahi ya Marekani na ni watiifu kwa USA
 
Saudia nao zamu yao kuja kuvurugwa kiuchumi kama nchi nyingine za kiarabu yaja tu ipo siku yao sema wao wajanja hawaiingilii masilahi ya Marekani na ni watiifu kwa USA
Hao ni vibaraka hawaguswi na wanategemewa kwa uchumi wa mataifa makubwa
Inasemekana ndio wanaongoza kwa hela
Kwa hiyo watanunua chochote mzungu atakachotengeneza hata kama iwe bei mara tatu
Wanalindwa hao Royal family kwa thamani kubwa
 

Hapo kwenye surbortage nadhani umemaanisha Sabotage!
 
Mkuu niwekee move hizo ni download,,
 
Hao ni vibaraka hawaguswi na wanategemewa kwa uchumi wa mataifa makubwa
Inasemekana ndio wanaongoza kwa hela
Kwa hiyo watanunua chochote mzungu atakachotengeneza hata kama iwe bei mara tatu
Wanalindwa hao Royal family kwa thamani kubwa
Ni kweli USA ina mlinda na ina soko kubwa lakini kuna siku watajisahau tu siunajua mataifa makubwa ni yakinyonyaji kazi yao kuharibu imagine Syria ilivokuwa vzuri na sasa imekuwa magofu matupu. Mabepari hawakuachi ustawi sana uwazidi lazima wakumalize tu. Time will tell na Saudia amekuwa akitumika kuzinyoosha nchi nyingine za kiaarabu akitumiwa na USA
 

Nilikuwa narahisisha kuwaambia vile ili waelewe.
Mkuu nashukuru kwa kukazia elimu hii muhimu. Maana kila ukipita mtaani, vijiweni au mitandaoni jamaa wana hate serikali. Lakini nikagundua kuwa ni uelewa mdogo. Sasa hapa wataanza kuelewa kidogokidogo. Kumbuka ya Kibiti-Mkuranga wengi walikuwa wanashabikia ule uharifu.

Ahsante sana
 
Huu ni upotoshaji wa kijinga kabisa,na ni urongo,undefinedtofautisha mambo ya mafia na mambo mengine,undefinedngoja wakutrace kama hujaimba haleluya kwa huu upotoshaji
Mzee wa Kremlin mbna vitisho vingi kama S-300 kumbe michuma chuma tu ile kama mapima ya gongo
 
Je kwenye iyo group upande wa usalama wa taifa hua kunakuepo na kiongozi wa Msafara? Yani kama platoon kamanda kwenye vikosi vya kijeshi? Kama yupo hua anachukua hatua gani juu ya adhabu inayotelwa baada ya Operation Kufeli/kutofanikiwa kwa maslahi ya waty wake
 
Zaidi ya kingereza sijaona jipya uliloliandika hapo, hayo yote tumekua tukiyatizama kwenye movie kusoma story za spies hasa zile ambazo taasisi husika imeamua kuzitoa kwa jamii mfano operation ya kumuua ERNESTO CHE GUEVARA nk.

Kuna experience moja watumishi wa idara ya afya (manesi na madakitari) wamekua wakiisimulia sana kwamba MWANAMKE ANAKUA NA HAMU YA KUPATA MIMBA KIASI ANAATHIRIKA KISAIKOLOJIA KITENDO AMBACHO KINAMPELEKEA KUPATA KILA DALILI ZA MWANAMKE MJAMZITO Kama vile kutapika asubuhi, kupendelea chakula cha aina fulani kumchukia mtu, harufu na mengineyo, tatizo Ni kwamba akipimwa mkojo wanakuta HANA MIMBA.

Nadhani tumeelewana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…