Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saudia nao zamu yao kuja kuvurugwa kiuchumi kama nchi nyingine za kiarabu yaja tu ipo siku yao sema wao wajanja hawaiingilii masilahi ya Marekani na ni watiifu kwa USAMakampuni makubwa mengi yanaweza kuvunja uhusiano na Saudia
Kwa mfano dili la Richard Branson ameahirisha na Uber na wengi watafanya hivyo.
Lakini hayo ni makampuni tu kwa misimamo yao na kupinga udhalimu unaoendelea.
Lakini kama tunavyojua mataifa ya magharibi wana maslahi mapana na Saudia kwa hiyo hizi ni bla bla tu hawawezi kumfanya kitu
Angalia wanavyouwa Yemen lakini hawamfanyi kitu.
Haya yatapita na hakuna watakachomfanya believe me
Mda si mrefu kuna Canadians walikamatwa Saudia na Canada wakakasirika lakini saudia walichofanya walituma ndege na kurudisha wanafunzi wote waliokuwa wanasoma Canada na kufunga biashara na Canada
Europeans na USA hawawezi kumfanya kitu kwa kumuwekea vigezo vyovyote.
Huyu kijana crown Prince ni muuwaji na amefanya makusudi kutuma watu wammalize ubalozini
Pompei ameenda kunywa chai Saudia
Unafikiri atawafanya nini? Tusubiri tuone
Sasa nitaipataje palipobakiaSiji tena nimeshaanza kufuatiliwa na watu.
Wasije wakaniteka bure
Hao ni vibaraka hawaguswi na wanategemewa kwa uchumi wa mataifa makubwaSaudia nao zamu yao kuja kuvurugwa kiuchumi kama nchi nyingine za kiarabu yaja tu ipo siku yao sema wao wajanja hawaiingilii masilahi ya Marekani na ni watiifu kwa USA
Yes, inatakiwa tuangalie majirani tunashindana nao vipi
Je na hao tunaosema ni wawekezaji ushindani wao ukoje "maana pia inawezekana wanashindana wao kwa wao"
Pia unaweza kuta ni hujuma ili kuwatisha wawekezaji wasije kwetu waogope kuvamiwa na kutekwa
Ingekuwa ni vikosi vya waasi
Huwa wanaweza kuuwa raia makusudi ili serikali iwape wanachokitaka
Wanafanya kitu inaitwa surbortage, wakifanya hivyo then raia wanaanza kuichukia serikali yao, au wawekezaji wanaanza kuogopa kuwekeza
Kwamfano
Jimbo la Cambinda kule Angola waasi wa huko baada ya kuona eneo lao lina mafuta mengi, wakaanza kufanya hujuma mpaka wakawavamia wachezaji wa team ya Taifa ya Togo.
Mkuu niwekee move hizo ni download,,Haya mambo nimeyajua sana kupitia movies na series
Some time undercover anaweza kutumwa kazi ili a-influence adui, halafu yeye ndio anakuwa influenced na adui, mwisho wa siku anaiba siri kwa waliomtuma halafu anapeleka kwa adui
Hatari sana haya mambo
Ni kweli USA ina mlinda na ina soko kubwa lakini kuna siku watajisahau tu siunajua mataifa makubwa ni yakinyonyaji kazi yao kuharibu imagine Syria ilivokuwa vzuri na sasa imekuwa magofu matupu. Mabepari hawakuachi ustawi sana uwazidi lazima wakumalize tu. Time will tell na Saudia amekuwa akitumika kuzinyoosha nchi nyingine za kiaarabu akitumiwa na USAHao ni vibaraka hawaguswi na wanategemewa kwa uchumi wa mataifa makubwa
Inasemekana ndio wanaongoza kwa hela
Kwa hiyo watanunua chochote mzungu atakachotengeneza hata kama iwe bei mara tatu
Wanalindwa hao Royal family kwa thamani kubwa
Mkuu nimependa avatar yakoSasa nitaipataje palipobakia
Kuna kitu umechanganya kidogo. JWTZ ni army, hawako involved with direct action kama tiss.
Ila ndani ya JWTZ kuna kikosi cha military intelligence na hawa wanatumika sana sana kwenye ku spy adui nje ya mipaka au nyakati za vita.
Na place my bet in TISS. Ndani ya tiss kuna vikosi vya direct action. A.k.a direct action units.
Hawa wako responsible na utekaji, uuaji, sabotage. Na zile mission za hatari. members wanakuwa wamepitia mafunzo ya kikomando na wengi huchukuliwa kutokea jwtz.
My bet ni tiss.. Not MI
Mzee wa Kremlin mbna vitisho vingi kama S-300 kumbe michuma chuma tu ile kama mapima ya gongoHuu ni upotoshaji wa kijinga kabisa,na ni urongo,undefinedtofautisha mambo ya mafia na mambo mengine,undefinedngoja wakutrace kama hujaimba haleluya kwa huu upotoshaji
Hahah hahahaaUkitekwa hawawezi kukuachia hata siku moja. Maana wakikuachia utatoa siri. Na ukitoa siri tayari watakamatwa wakikamatwa mbinu zao na malengo yatakuwa wazi kwa hiyo mipango yao itaharibika kabisa. Na hapo hakuna maisha tena.