Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

Sasa na hii operation ya khashoghi imekaaje au wao (Saudia) hawaguswi na mtu maana jamaa kaingia ubalozini wamemuuwa na kumkatakata vipande.

Saa yake hiyo iliyotoa siri zote maana yake ni mission fail
Kwa hiyo nao Mohammed Bin Suleiman atawamaliza? Kama ndio aliewatuma?

Kwenye ubalozi kunatakiwa kuwa na watu smart, kazi ya kwanza kuchukua taarifa kutoka kwao, kuzuia wasipate taarifa kwetu tatu na muhimu nchi yetu ipate faida ya uwepo wetu kule so hapa sio kila kitu kinatakiwa kufanya kihalali bali hata kutapeli kwaajili ya Taifa ni Muhimu sana.

Na ndio maana huwezi peleza raia akawa balozi Egypt, Congo, Msumbiji zamani lakini sio sasa, Urusi au Nigeria Zamani even Cuba at that time
 
Mwanzo alifanya kazi kama mshauri wa royal family ya Saudia baadae akaacha na kwenda nje ya nchi na kuanza kuandika makala ya kuwakashifu (ambayo mengi ni ya ukweli)

Hawakupenda hilo wakaamua wammalize lakini sidhani kama ni usaliti bali alikuwa anawapa ukweli kwa udhalimu wanaoufanya
Sasa kama alikuwa mshauri wao had akaenda nje kuwakashifu it means he was double agent kwa hyo royal family. Hafu kwanini alianza kuwaponda maana huko nchi ya nje alitoa siri nyingi ndo maana adhabu hyo ikampata, yani uandike tu kitu then wakumalize kina kitu nyuma ya pazia
 
Kwenye ubalozi kunatakiwa kuwa na watu smart, kazi ya kwanza kuchukua taarifa kutoka kwao, kuzuia wasipate taarifa kwetu tatu na muhimu nchi yetu ipate faida ya uwepo wetu kule so hapa sio kila kitu kinatakiwa kufanya kihalali bali hata kutapeli kwaajili ya Taifa ni Muhimu sana.

Na ndio maana huwezi peleza raia akawa balozi Egypt, Congo, Msumbiji zamani lakini sio sasa, Urusi au Nigeria Zamani even Cuba at that time
Nimekusoma mkuu, tazama balozi wa DRC ni major Gen..
Kule Israel yupo mzee Lusinde
 
Mimi sio Edward Snowden, Nimeamua kutoa elimu bure muache kulalamikia serikali badala ya kuisaidia

Mtaisaidiaje ni lazima tupate knowledge kidogo ili siku yoyote tuwe kitu kimoja kwaajili ya Taifa. Taifa tu na si vinginevyo
Watu walalamika maana nayo haitaki napo kusikiliza sauti za wana nchi kwenye baadhi ya mambo, pia hofu imekuwa kubwa hasa mambo ambayo yamenyamaziwa kimya hivo basi wana nchi wanajua serikali ndo inahusika coz wengi hatujui yanayoendelea behind the scene ya baadhi ya mambo yanayofanyika kwa masilahi ya nchi.
 
Nimekusoma mkuu, tazama balozi wa DRC ni major Gen..
Kule Israel yupo mzee Lusinde

Yes, ni kuwa mnapokuwa kwenye vikao vya kidiplomasia msiwe mshamba kwenye mambo ya defense na protections lakini pia na kupata vitu kutoka kwao

Hebu angalia mfano Israel ni Nchi ya 8 kwa Nguvu za kijeshi lakini ina population isiyozidi 12m
Kwahiyo pale kuna potential kwetu kupata mbinu za Mosad na jeshi lao pia. Ni lazima kama nchi tuwe Diversity.
 
Watu walalamika maana nayo haitaki napo kusikiliza sauti za wana nchi kwenye baadhi ya mambo, pia hofu imekuwa kubwa hasa mambo ambayo yamenyamaziwa kimya hivo basi wana nchi wanajua serikali ndo inahusika coz wengi hatujui yanayoendelea behind the scene ya baadhi ya mambo yanayofanyika kwa masilahi ya nchi.

Nilieleza vizuri pale mwanzo zile operation mbili tofauti
Jiule je hao ni nani
1. Walikuwa infiltrated then wamebainika?
2. Au kuna hujuma tunafanyiwa ili tuichukie serikali kuwa inateka watu na kuwapoteza

Mind you Adui anakuja kwa mbinu nyingi sana ni kama Shetani anvyomdanganya mwanadamu
 
Hapo number mbili nimekuelewa sana kuna kipindi nilikuwa na hisia hzo hasa kwa mambo yanayoendelea hapa nchini, na kweli haya matukio wananchiwanaamini ni serikali inahusika asilimia zote kumbe ukute ni kitu la wachache wenye agenda yao hata kwa nchi ili kuharibu mstakabali wa nchi yetu kiuwekezaji na kiuchumi.
 
Yes, inatakiwa tuangalie majirani tunashindana nao vipi
Je na hao tunaosema ni wawekezaji ushindani wao ukoje "maana pia inawezekana wanashindana wao kwa wao"
Pia unaweza kuta ni hujuma ili kuwatisha wawekezaji wasije kwetu waogope kuvamiwa na kutekwa

Ingekuwa ni vikosi vya waasi
Huwa wanaweza kuuwa raia makusudi ili serikali iwape wanachokitaka
Wanafanya kitu inaitwa surbortage, wakifanya hivyo then raia wanaanza kuichukia serikali yao, au wawekezaji wanaanza kuogopa kuwekeza

Kwamfano
Jimbo la Cambinda kule Angola waasi wa huko baada ya kuona eneo lao lina mafuta mengi, wakaanza kufanya hujuma mpaka wakawavamia wachezaji wa team ya Taifa ya Togo.
 
Leo JF imerudi kwenye sense

Ni kweli mkuu tutafakali sisi sote, tueleweshane. Inawezekana tunachonganishwa na watu wa nje. Badala ya kukaa kitu kimoja tunaanza kulaumu serikali mara vyama, inakuwa ni upuuzi.

We have to think critically the we can resolve the issues

Kumbuka ya Mkuranga - Kibiti----- Tukaanza kufanyia siasa mambo muhimu.
 
Mkuu naomba ufafanuzi juu ya huyu prof plz
Kwa wale wanaolijua somo la English Literature wanamfahamu huyu jamaa ana mashairi moja linaitwa SUNRISE na lingine linaitwa LOST BEAUTY.Hili shairi la LOST BEAUTY lilikuwa linapendwa sana na hawa akina Maxence Melo Pascal Mayalla NAHUJA Nyani Ngabu na Mzizi mkavu.

Mbali na utunzi wa mashairi huyu jamaa alikuwa ni wakili katika kesi ya mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda.Jamaa alikuwa wakili pale mahakama ya mauaji ya kimbari iliyopo Arusha.
Inasemekana jamaa alikuwa na ugomvi na mteja wake kitu kilichopelekea kifo chake
 
Kwa wale wanaolijua somo la English Literature wanamfahamu huyu jamaa ana mashairi moja linaitwa SUNRISE na lingine linaitwa LOST BEAUTY.Hili shairi la LOST BEAUTY lilikuwa linapendwa sana na hawa akina@maxence melo Pascal Mayalla NAHUJA Nyani Ngabu na Mzizi mkavu.

Mbali na utunzi wa mashairi huyu jamaa alikuwa ni wakili katika kesi ya mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda.Jamaa alikuwa wakili pale mahakama ya mauaji ya kimbari iliyopo Arusha.
Inasemekana jamaa alikuwa na ugomvi na mteja wake kitu kilichopelekea kifo chake
Duuuh kumbeee!! Umafia kumbe haujaanza leo
 
sijaona kitu hapo zaidi ya li spindoctor lilo kubuhu.... just kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuiokoa serkali na matukio ya kijinga yaloshindwa!!
kila kitu is possible + tafta sehem ya kupeleka assumption (kwa mambo yatayo gusa uma) same kwa mvungi same kwa MO na nk
ukweli ni kwamba tumepitwa na wakati mbinu ni za 70s
pumbavu jipaangeni!!!
 
Back
Top Bottom