mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Nimesoma nimeelewa naomba cheti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa na hii operation ya khashoghi imekaaje au wao (Saudia) hawaguswi na mtu maana jamaa kaingia ubalozini wamemuuwa na kumkatakata vipande.
Saa yake hiyo iliyotoa siri zote maana yake ni mission fail
Kwa hiyo nao Mohammed Bin Suleiman atawamaliza? Kama ndio aliewatuma?
Sana tu aisee yataka kujitoa ajabu watu huzipenda sijui hufikiria nini hyo kitu.Kazi za usalama wa taifa ni hatari sana
Haaaaa hatarii yake nini mkuu?Kazi za usalama wa taifa ni hatari sana
Kazi za usalama wa taifa ni hatari sana
Sasa kama alikuwa mshauri wao had akaenda nje kuwakashifu it means he was double agent kwa hyo royal family. Hafu kwanini alianza kuwaponda maana huko nchi ya nje alitoa siri nyingi ndo maana adhabu hyo ikampata, yani uandike tu kitu then wakumalize kina kitu nyuma ya paziaMwanzo alifanya kazi kama mshauri wa royal family ya Saudia baadae akaacha na kwenda nje ya nchi na kuanza kuandika makala ya kuwakashifu (ambayo mengi ni ya ukweli)
Hawakupenda hilo wakaamua wammalize lakini sidhani kama ni usaliti bali alikuwa anawapa ukweli kwa udhalimu wanaoufanya
Nimekusoma mkuu, tazama balozi wa DRC ni major Gen..Kwenye ubalozi kunatakiwa kuwa na watu smart, kazi ya kwanza kuchukua taarifa kutoka kwao, kuzuia wasipate taarifa kwetu tatu na muhimu nchi yetu ipate faida ya uwepo wetu kule so hapa sio kila kitu kinatakiwa kufanya kihalali bali hata kutapeli kwaajili ya Taifa ni Muhimu sana.
Na ndio maana huwezi peleza raia akawa balozi Egypt, Congo, Msumbiji zamani lakini sio sasa, Urusi au Nigeria Zamani even Cuba at that time
Watu walalamika maana nayo haitaki napo kusikiliza sauti za wana nchi kwenye baadhi ya mambo, pia hofu imekuwa kubwa hasa mambo ambayo yamenyamaziwa kimya hivo basi wana nchi wanajua serikali ndo inahusika coz wengi hatujui yanayoendelea behind the scene ya baadhi ya mambo yanayofanyika kwa masilahi ya nchi.Mimi sio Edward Snowden, Nimeamua kutoa elimu bure muache kulalamikia serikali badala ya kuisaidia
Mtaisaidiaje ni lazima tupate knowledge kidogo ili siku yoyote tuwe kitu kimoja kwaajili ya Taifa. Taifa tu na si vinginevyo
Nimekusoma mkuu, tazama balozi wa DRC ni major Gen..
Kule Israel yupo mzee Lusinde
Watu walalamika maana nayo haitaki napo kusikiliza sauti za wana nchi kwenye baadhi ya mambo, pia hofu imekuwa kubwa hasa mambo ambayo yamenyamaziwa kimya hivo basi wana nchi wanajua serikali ndo inahusika coz wengi hatujui yanayoendelea behind the scene ya baadhi ya mambo yanayofanyika kwa masilahi ya nchi.
hadothi gani?We jamaa ile hadithi yako imeisha kama bongo muvi ebu ongeza muendelezo
hadothi gani?
Hapo number mbili nimekuelewa sana kuna kipindi nilikuwa na hisia hzo hasa kwa mambo yanayoendelea hapa nchini, na kweli haya matukio wananchiwanaamini ni serikali inahusika asilimia zote kumbe ukute ni kitu la wachache wenye agenda yao hata kwa nchi ili kuharibu mstakabali wa nchi yetu kiuwekezaji na kiuchumi.Nilieleza vizuri pale mwanzo zile operation mbili tofauti
Jiule je hao ni nani
1. Walikuwa infiltrated then wamebainika?
2. Au kuna hujuma tunafanyiwa ili tuichukie serikali kuwa inateka watu na kuwapoteza
Mind you Adui anakuja kwa mbinu nyingi sana ni kama Shetani anvyomdanganya mwanadamu
Hapo number mbili nimekuelewa sana kuna kipindi nilikuwa na hisia hzo hasa kwa mambo yanayoendelea hapa nchini, na kweli haya matukio wananchiwanaamini ni serikali inahusika asilimia zote kumbe ukute ni kitu la wachache wenye agenda yao hata kwa nchi ili kuharibu mstakabali wa nchi yetu kiuwekezaji na kiuchumi.
Leo JF imerudi kwenye sense
Kwa wale wanaolijua somo la English Literature wanamfahamu huyu jamaa ana mashairi moja linaitwa SUNRISE na lingine linaitwa LOST BEAUTY.Hili shairi la LOST BEAUTY lilikuwa linapendwa sana na hawa akina Maxence Melo Pascal Mayalla NAHUJA Nyani Ngabu na Mzizi mkavu.Mkuu naomba ufafanuzi juu ya huyu prof plz
Duuuh kumbeee!! Umafia kumbe haujaanza leoKwa wale wanaolijua somo la English Literature wanamfahamu huyu jamaa ana mashairi moja linaitwa SUNRISE na lingine linaitwa LOST BEAUTY.Hili shairi la LOST BEAUTY lilikuwa linapendwa sana na hawa akina@maxence melo Pascal Mayalla NAHUJA Nyani Ngabu na Mzizi mkavu.
Mbali na utunzi wa mashairi huyu jamaa alikuwa ni wakili katika kesi ya mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda.Jamaa alikuwa wakili pale mahakama ya mauaji ya kimbari iliyopo Arusha.
Inasemekana jamaa alikuwa na ugomvi na mteja wake kitu kilichopelekea kifo chake
Ni hayo tuDuuuh kumbeee!! Umafia kumbe haujaanza leo