Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Siasa ni mchakato wa kutumia rasilimali za, nchi kwa ajili ya maendeleo ya, wananchi, serikali inabinafsisha migodi, kanisa likae kimya!
Rushwa inazidi, mali ya umma inafujwa, kanisa, likae kimya!
Watu wanatekwa, kupotezwa, kufungwa, kuuliwa, kanisa likae kimya! Si, hayawahusu, haya!
Unanunua ma, V8 kila mwaka,Ila unsomba wafadhili wakijengee matundu ya vyoo!kanisa likae kimya! Vijana wanahitimu vyuo vya elimu ya juu, wanakosa ajira,una waambia waende veta kuongeza ujuzi! Ili, wajiajiri! Wakati Hao, wa, veta wapo kitaa, wanapiga mihayo!
Waumini wanaenda kanisani, wamechoka, hawana, senti, ajira, zimepotea, wanahofu, ndugu zao, wametekwa, wameuliwa, Ila, kanisa lijifanye halioni, liseme tu"toa ndugu toa ndugu ulichonacho wewe bwana anakuona mpaka moyoni mwako"!!
Ur full of shit bro!