Kinachofanywa na maaskofu na watumishi wa Mungu sio siasa

Kinachofanywa na maaskofu na watumishi wa Mungu sio siasa

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.

Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you

..hujawasikia Mashekhe wanaoshambulia vyama vya upinzani, na kumuunga mkono Rais Samia?

..ushauri wangu Viongozi wa Dini waachwe waunge mkono wanayemtaka. Hata kama ni udini waachwe.
 
Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?

..sitaki machafuko.

..Je, unategemea shekhe au askofu asimuunge mkono mwanasiasa wa Dini yake?

..nisichotaka mimi ni unafiki, au kujifanya hamnazo.

..viongozi wote wa Dini, iwe Maaskofu, Mashekhe, nk ni WADINI.

..Ukiweza kulielewa hilo ndipo utakapoweza kuchambua HOJA zao.
 
Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.

Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Naunga mkono hoja
Kama alimaanisha jk basi huyo kiongozi wa dini atakuwa na dosari,si jambo jema kwa kiongozi wa dini kumuandana mtu hata kama ana dosari
Naunga mkono hoja
Wanabodi,
Declaration of Interest

Katika uendeshaji wa nchi yetu, kumewahi kuwepo tuhuma za kitu kinachoitwa "Mfumo Kristo", hata uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uliwahi kutuhumiwa kujaza Wakatoliki!. Mwalimu Nyerere akamtuma msaidizi wake Bi. Wickens amuhesabie idadi ya mawaziri Wakatoliki kwenye cabinet yake, akawakuta wawili, mmoja wao ni Sir George Kahama, wakati huo Sir George ameisha endelea, ana wake 2!.

Japo Tanzania ni secular state, nchi yetu haina dini na serikali haina dini, ila watu wake wana dini, na dini Kuu mbili ni Wakristo na Waislamu. Ukiangalia development index ya maendeleo na personal development ya watu hawa wawili ni tofauti, kuna mmoja ni more influential kuliko mwingine, hivyo akisema kitu kinasikilizwa na kisipo sikilizwa...

Tukubali tukatae, Kanisa Katoliki lina upper hand kwenye siasa za nchi hii!, si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na atakaye mfuatia Mama Samia baada muda wake, ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.

Paskali.
Askofu kwa Maonyo haya,

Lazima alikuwa kwenye mfungo na maombi ya nguvu.

Ujasiri huu ni wa kupigiwa mfano.

Cha kushangaza waumini kina Pascal Mayalla ,johnthebaptist uoga umewajaa.
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.

Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.

Huku sio kuchanganya dini na siasa?. Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
P
 
Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.

Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Wapi kamtaja jina?
Wewe ndiyo una chuki na kikwete umemtaja jina kwa kuwasingizia Askofu
 
Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja

Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.

Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.

Huku sio kuchanganya dini na siasa?. Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
P
Acha kumwandama Baba Asikofu hana kiburi wala Udini na hajamtaja kikwete kwani wasitaafu ni wengi tena wa Dini mbalimbali, wewe Paskal mayala ndiyo una chuki binafsi na kikwete umeamua kupitia hapo kwa Askofu kumsema kikwete, mashekhe jana wameongea vijembe vingi kwa wakiristo hukujitokeza na kusema Siasa misikitini, acha kutumia jukwaa vibaya kuwasingia wakristo kufanya siasa makanisani wakati kazi ya kanisa ni kukemea matendo mabaya bila kujali kama wewe Paskal mayala ni mnufaika wake
 
Udini upo zaidi kwa Waislam kwani ndiyo huwaita Wakristo Makafiri, na wakiristo wana upendo mkubwa wa waislam wapenda Aman waadilifu wenye kutenda yaliyo mema na hata wakikosoa jambo hukosoa kwa wingi na mapana pasipo kumtaja mtu, Sasa Baba Askofu karusha jiwe kichakani walipa wabaguzi wa Dini yaani wenye Udini wamejitokeza kumtaja kikwete,na sasa hawataki Mkirsto ataje mabaya ya muislam wanasingizia ni Udini, lakini muislam akimshutumu Dini zingine wanaona sawa tu, huu upumbavu wa chawaccm ndiyo unakuza udini kwa njia za kishetani na ushamba mkubwa
 
Back
Top Bottom