Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.
Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.
Huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
P