Kinachofanywa na maaskofu na watumishi wa Mungu sio siasa

Kinachofanywa na maaskofu na watumishi wa Mungu sio siasa

Kwa maana nyingine, "pasiwepo shida" kuwa na serikali ya kidini? Egypt ambayo wakazi wake wengi ni waislam, lakini bado chama na serikali ya Moslem Brotherhood kila mara husababisha matatizo na kuishia kupinduliwa!

Sasa tuseme hapa kwetu tunayo de facto serikali ya BAKWATA?

..Muslim Brotherhood walipopata serikali walifanyiwa fitina na wakapinduliwa na jeshi.

..Hii dunia ni ya ki-secular huwezi kuwa na serikali ambayo inaendeshwa kidini 100%.

..Kwa Tanzania Ccm wamejipa hati miliki ya kuungwa mkono na viongozi wa dini.

..Mwingine yeyote akitafuta kuungwa mkono na viongozi wa dini anaitwa Mdini, na anataka kuvunja amani ya nchi.
 
Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Bora machafuko halisi kuliko amani ya bandia mkuu.

Watu hawamtaki Mama , si awaachie Taifa lao ,kwani lazima awe yeye?
 
Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Bora machafuko halisi kuliko amani ya bandia mkuu.

Watu hawamtaki Mama , si awaachie Taifa lao ,kwani lazima awe yeye?
 
Kwa nini usiweze kuzuia kama unajua kuruhusu hivyo ni kuleta mvuruganyo ndani ya taifa?

Kuzuia ni kutengeneza Katiba inayo bana mambo hayo.

Sasa hivi tunaambiwa chama chochote cha siasa ni lazima kiwe na wanachama pande zote za Muungano; kwa nini kubana vyama visijionyeshe kuwa vya kidini ishindikane?

..chama cha Kidini kitakuwa kinaji-confine kwa watu wa dini moja.

..chama ambacho si cha kidini kitakaribisha wanachama toka dini mbalimbali.

..wenye busara watajua nini cha kufanya katika mazingira hayo.

..kinachotakiwa ni mazingira sawa ya kufanya siasa. Hilo ndio jambo muhimu kuliko yote katika demokrasia.
 
..Muslim Brotherhood walipopata serikali walifanyiwa fitina na wakapinduliwa na jeshi.

..Hii dunia ni ya ki-secular huwezi kuwa na serikali ambayo inaendeshwa kidini 100%.

..Kwa Tanzania Ccm wamejipa hati miliki ya kuungwa mkono na viongozi wa dini.

..Mwingine yeyote akitafuta kuungwa mkono na viongozi wa dini anaitwa Mdini, na anataka kuvunja amani ya nchi.
Hapa kwetu sehemu kubwa ya tatizo linatokana na CCM. Wao ndio wamefanya kuwatumia viongozi wa dini (zote) kwa manufaa yao.
Wanapovuruga na viongozi wa dini wanaoelewa maana ya uongozi ni nini, hao hao ndio wanatupiwa lawama.
 
Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.

Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Wapi kamtaja? Alisema kuna wastaafu! Hilo ni jiwe gizani Ila kwa hizi akili finyu hizi mnaingiza udini! Wafvk
 
..chama cha Kidini kitakuwa kinaji-confine kwa watu wa dini moja.

..chama ambacho si cha kidini kitakaribisha wanachama toka dini mbalimbali.

..wenye busara watajua nini cha kufanya katika mazingira hayo.

..kinachotakiwa ni mazingira sawa ya kufanya siasa. Hilo ndio jambo muhimu kuliko yote katika demokrasia.
Umechora picha rahisi sana; ambayo ndani yake umeiacha na tobo kubwa sana.
 
"Wastaafu waache kuwashwa washwa" by late JPM...
 
Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Tuwe fair, kuna viongozi wanaandaa makongamano kila siku kusema NRNE, mbona hamuwasemi kuleta udini?
 
Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.

Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Kikwete ninavyomjua atamjibu tena atamjibu kwa dharau sana mpaka huyo askofu atajiona takataka iweje awamu hii kila kiongozi wa dini tena wakristo watoe matamko ila wanaumia sana wanaona Rais ni mwanamke tena muislam wanaumia sana wanataman wahame nchi
 
Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Unataka machafuko yazidi ya haya tuliyo nayo ya watu kutekwa kuuliwa na kupotezwa? Yaani mtu anatolewa kwenye gari la abiria mchana kweupe anaenda kuuliwa halafu useme hakuna machafuko?
 
Ashambuliwe kama Kitima au atekwe............the united republic of gangster.
Kitima kashambuliwa na Vibaka tu. Wacha kusambaza Sumu. !!

Jambo nilikuwa wazi na maelezo yalitolewa na police na viongozi wa kanisa wakafunga propaganda yao !!!

baada ya kuumbuliwa na police
Viongozi wetu wa Dini wewe kafanye Ibada mengine waachie wanyewe!!!
 
Bora machafuko halisi kuliko amani ya bandia mkuu.

Watu hawamtaki Mama , si awaachie Taifa lao ,kwani lazima awe yeye?
Awamtaki nani. Kama Wakristo tena wakuja tu kwenye jiji ili la Dar es Sallam ndio hawamtaki. Msituzingue

Sisi tunamtaka SAMIA na. Hakuna kenge yoyote mwenye kuweza kutupangia Sisi. Wenyewe wenye Jiji letu.

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN kutoka 25-30 💪 October 28 tunatoka kwa wingi kwenda kutiki✅️

mengine ni mapambio tu

Utaki kuongozwa na RAIS SAMIA
Tupishe kwenye jiji letu zamu yetu ya kula Vidali msitusumbue mjue!!

Tutawafukuza mjini Mwende kwenu mikoani uko mkachunane ngozi na kuuwa albino kuuwa vibibi vizee tena mkiondoka jijini msisaau kumchukua na Mungu wenu wa kizungu..

tumewafunza Wenyewe Ustaarabu leo mnataka kutupangia kiongozi wetu.

Muendelee kula matembele mpaka 30+ nanyinyi ndio mle vidali !!
 
Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Dhuluma na uminywaji wa haki vikizidi haviwezi kuleta machafuko?!
Viongozi wa dini wanasisitiza awesome wa Haki ambayo itatuhakikishia Amani ya kweli. Tatizo ni lipi?!
 
Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.

Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Samia jana kahudhuria kongamano la dini yake na kupigiwa kampeni Wazi Wazi. Hao wako sahihi??
 
Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja

Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.

Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.

Huku sio kuchanganya dini na siasa?. Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
P
Tuendelee kuuawa sababu ya maslahi ya Huyo Mstaafu na viongozi wa dini wakae kimya?
 
Kitima kashambuliwa na Vibaka tu. Wacha kusambaza Sumu. !!

Jambo nilikuwa wazi na maelezo yalitolewa na police na viongozi wa kanisa wakafunga propaganda yao !!!

baada ya kuumbuliwa na police
Viongozi wetu wa Dini wewe kafanye Ibada mengine waachie wanyewe!!!
Ndiyo, alishambuliwa na vibaka wa mama.
 
Dhuluma na uminywaji wa haki vikizidi haviwezi kuleta machafuko?!
Viongozi wa dini wanasisitiza awesome wa Haki ambayo itatuhakikishia Amani ya kweli. Tatizo ni lipi?!
Tatizo lipo kwa Askofu mmoja mmoja kutoa shutuma badala ya kutumia Kamati ya usalama iliyoundwa na inayojumuisha dini zote.

Hapo ndipo busara ya kiongozi wa dini inapoonekana hata mauwaji ya Rwanda yalisababishwa pia na hao viongozi wa RC ndio maana baada ya mauaji pia viongozi wa RC walishitakiwa na kufungwa.
 
Unataka machafuko yazidi ya haya tuliyo nayo ya watu kutekwa kuuliwa na kupotezwa? Yaani mtu anatolewa kwenye gari la abiria mchana kweupe anaenda kuuliwa halafu useme hakuna machafuko?
Kwani mtu kuuawa imeanza leo? Kuuawa kupo tangu dunia ilipoubwa na watu wataendelea kuuawa mpaka mwisho wa dunia. Maana ya machafuko ni mauaji ya watu wengi na uhalibifu wa mali nyingi kwa wakati mmoja siyo kifo cha mtu mmoja moja. Be informed!!
 
Back
Top Bottom