Maasikofu hawajavuka mipaka na hakuna cha kiboko wao mazinge kwani hawajamtaja mtu wamekemea in general, evidence ipi unataka,?acha kujitoa fahamu baada ya kuvuta BangiMmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Wewe unapungukiwa na Nini? Umeisoma Katiba yetu ukaielewa, mbona unaakili za kipumbavu kiasi hiki, kwahyo Kikwete akishiriki kwa hafala ww unakufa au ..... foolish weRais mstaafu anafanya nini Kwenye Kila function ya Serikali?
Ni sawa Leo umuone Trump na Biden Kila sehemu
Mzee apumzike
Amekusea nini hivi kwann una ujinga kiasi hiki hvi ni udini au ni nn?Unataka evidence gani? Mzee Kikwete aache upumbavu!
Babu yenu wa mwintongo alikataza sheria ya uanzishwaji wa vyama vingi vya kisiasa visiwe vya kidini, majimbo wala vyenye majina ya zamani. Unajua kwa kinini?..hujawasikia Mashekhe wanaoshambulia vyama vya upinzani, na kumuunga mkono Rais Samia?
..ushauri wangu Viongozi wa Dini waachwe waunge mkono wanayemtaka. Hata kama ni udini waachwe.
Ashambuliwe kama Kitima au atekwe............the united republic of gangster.Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Babu yenu wa mwintongo alikataza sheria ya uanzishwaji wa vyama vingi vya kisiasa visiwe vya kidini, majimbo wala vyenye majina ya zamani. Unajua kwa kinini?
Aliujua moto wake.
Joseph Nyenyere alianzisha chama kikiatwa TANU (TANZANIA AFRICAN NATIONAL UNION) akatakiwa abadilishe jina.
Walikuwepo na wapinzani wa TANU wa kabla ya kupigwa marufuku vyama vingi vya kisiasa walikuja na majina yao ya zamani wakatakiwa kufanya hivyo hivyo la sivyo wangekosa usajili.
"Kwa maana hiyo hiyo, hata wanasiasa "waachwe" washabikie imani wanayotaka; na zaidi ya yote, sisi raia waTanzania tuachwe" tushabikie imani zetu...hujawasikia Mashekhe wanaoshambulia vyama vya upinzani, na kumuunga mkono Rais Samia?
..ushauri wangu Viongozi wa Dini waachwe waunge mkono wanayemtaka. Hata kama ni udini waachwe.
Hakuna anayegombania nyama we pungo hizi mbuzi tena kutoka Tanzania zilinunuliwa kama sadaka na mahujaji tena wengine watanzaniaMashehe wapunguze kugombania vinyama vya kutoka Makkah
Kwa maana nyingine, "pasiwepo shida" kuwa na serikali ya kidini? Egypt ambayo wakazi wake wengi ni waislam, lakini bado chama na serikali ya Moslem Brotherhood kila mara husababisha matatizo na kuishia kupinduliwa!..kama tayari tuna Makanisa na Misikiti basi haina shida kuwa na vyama vya kidini.
Ohhbona lilipokuja swala la mahakama ya kadhi maaskofu wapipinga mbona MOU hawasemi na waislm nao wapewe hela za shule waziboreshe au hospital upenz gan wakukutana gest toa mavi yako hapa waislamu hamwe hawtakuja piganiwa mambo yao na mkristo ongopea kundi la wasioenda shule nyie wakristo mna instructional discrimination against Muslim and their development hapo hatujagusia kuvutiana kwenye ajiraUdini upo zaidi kwa Waislam kwani ndiyo huwaita Wakristo Makafiri, na wakiristo wana upendo mkubwa wa waislam wapenda Aman waadilifu wenye kutenda yaliyo mema na hata wakikosoa jambo hukosoa kwa wingi na mapana pasipo kumtaja mtu, Sasa Baba Askofu karusha jiwe kichakani walipa wabaguzi wa Dini yaani wenye Udini wamejitokeza kumtaja kikwete,na sasa hawataki Mkirsto ataje mabaya ya muislam wanasingizia ni Udini, lakini muislam akimshutumu Dini zingine wanaona sawa tu, huu upumbavu wa chawaccm ndiyo unakuza udini kwa njia za kishetani na ushamba mkubwa
Siasa ni mchakato wa kutumia rasilimali za, nchi kwa ajili ya maendeleo ya, wananchi, serikali inabinafsisha migodi, kanisa likae kimya!Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
EVIDENCE IKO YOU TUBE.Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Muslim Brotherhood, hawapo serikalini,Egypt, Rais wao, Mohamed Morsi alipinduliwa, akafia jera, Egypt inaongozwa, na Military general Abdel fattah el sisiKwa maana nyingine, "pasiwepo shida" kuwa na serikali ya kidini? Egypt ambayo wakazi wake wengi ni waislam, lakini bado chama na serikali ya Moslem Brotherhood kila mara husababisha matatizo na kuishia kupinduliwa!
Sasa tuseme hapa kwetu tunayo de facto serikali ya BAKWATA?
Wewe umefuzu chuo cha Kariakoo, kwa Mzee Mohammed Said. Ndiyo maana unatapika takataka za aina hii hapa.Ohhbona lilipokuja swala la mahakama ya kadhi maaskofu wapipinga mbona MOU hawasemi na waislm nao wapewe hela za shule waziboreshe au hospital upenz gan wakukutana gest toa mavi yako hapa waislamu hamwe hawtakuja piganiwa mambo yao na mkristo ongopea kundi la wasioenda shule nyie wakristo mna instructional discrimination against Muslim and their development hapo hatujagusia kuvutiana kwenye ajira
"Kwa maana hiyo hiyo, hata wanasiasa "waachwe" washabikie imani wanayotaka; na zaidi ya yote, sisi raia waTanzania tuachwe" tushabikie imani zetu.
Hapo bado Tanzania itakuwepo kweli?
Ninachojuwa, Tanzania ya leo ingekuwa ni tofauti kabisa kama Mwalimu Nyerere angechukua msimamo wa aina hiyo.
Kwani mimi nimesemaje, mkuu 'JUAN MANUEL', au kwa vile sikutaja majina kama ulivyo fanya wewe?Muslim Brotherhood, hawapo serikalini,Egypt, Rais wao, Mohamed Morsi alipinduliwa, akafia jera, Egypt inaongozwa, na Military general Abdel fattah el sisi
Kwa nini usiweze kuzuia kama unajua kuruhusu hivyo ni kuleta mvuruganyo ndani ya taifa?..zama za Mwalimu Nyerere ni tofauti na zama hizi za demokrasia ya vyama vingi.
..huwezi kuzuia Shekhe, Askofu, Imamu, Mchungaji,..kuvutiwa na chama au mgombea fulani. Viongozi wa Kidini hawaishi mapangoni wasijue kinachoendelea katika jamii.
..vilevile kutokana na malezi yao, Mashekhe, Maaskofu, ...ni wadini hivyo sio ajabu kuvutiwa au kushawishika kwa misingi ya Kidini.
..Viongozi wa Dini waachwe washiriki siasa, na watoe maoni yao, sisi wananchi tuna akili za kutosha kuchakata maoni hayo.
..Tunaposema viongozi wa Dini wakishiriki siasa kutatokea vurugu, kwa maoni yangu tunakubali kuwa hatuna uwezo wa kuchakata maoni yao, na huko ni kujidhalilisha wenyewe.