Kwa maana nyingine, "pasiwepo shida" kuwa na serikali ya kidini? Egypt ambayo wakazi wake wengi ni waislam, lakini bado chama na serikali ya Moslem Brotherhood kila mara husababisha matatizo na kuishia kupinduliwa!
Sasa tuseme hapa kwetu tunayo de facto serikali ya BAKWATA?
Bora machafuko halisi kuliko amani ya bandia mkuu.Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Bora machafuko halisi kuliko amani ya bandia mkuu.Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Akili za machawa hiziUdini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Kwa nini usiweze kuzuia kama unajua kuruhusu hivyo ni kuleta mvuruganyo ndani ya taifa?
Kuzuia ni kutengeneza Katiba inayo bana mambo hayo.
Sasa hivi tunaambiwa chama chochote cha siasa ni lazima kiwe na wanachama pande zote za Muungano; kwa nini kubana vyama visijionyeshe kuwa vya kidini ishindikane?
Hapa kwetu sehemu kubwa ya tatizo linatokana na CCM. Wao ndio wamefanya kuwatumia viongozi wa dini (zote) kwa manufaa yao...Muslim Brotherhood walipopata serikali walifanyiwa fitina na wakapinduliwa na jeshi.
..Hii dunia ni ya ki-secular huwezi kuwa na serikali ambayo inaendeshwa kidini 100%.
..Kwa Tanzania Ccm wamejipa hati miliki ya kuungwa mkono na viongozi wa dini.
..Mwingine yeyote akitafuta kuungwa mkono na viongozi wa dini anaitwa Mdini, na anataka kuvunja amani ya nchi.
Wapi kamtaja? Alisema kuna wastaafu! Hilo ni jiwe gizani Ila kwa hizi akili finyu hizi mnaingiza udini! WafvkMmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Umechora picha rahisi sana; ambayo ndani yake umeiacha na tobo kubwa sana...chama cha Kidini kitakuwa kinaji-confine kwa watu wa dini moja.
..chama ambacho si cha kidini kitakaribisha wanachama toka dini mbalimbali.
..wenye busara watajua nini cha kufanya katika mazingira hayo.
..kinachotakiwa ni mazingira sawa ya kufanya siasa. Hilo ndio jambo muhimu kuliko yote katika demokrasia.
Tuwe fair, kuna viongozi wanaandaa makongamano kila siku kusema NRNE, mbona hamuwasemi kuleta udini?Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Kikwete ninavyomjua atamjibu tena atamjibu kwa dharau sana mpaka huyo askofu atajiona takataka iweje awamu hii kila kiongozi wa dini tena wakristo watoe matamko ila wanaumia sana wanaona Rais ni mwanamke tena muislam wanaumia sana wanataman wahame nchiMmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Unataka machafuko yazidi ya haya tuliyo nayo ya watu kutekwa kuuliwa na kupotezwa? Yaani mtu anatolewa kwenye gari la abiria mchana kweupe anaenda kuuliwa halafu useme hakuna machafuko?Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Kitima kashambuliwa na Vibaka tu. Wacha kusambaza Sumu. !!Ashambuliwe kama Kitima au atekwe............the united republic of gangster.
Awamtaki nani. Kama Wakristo tena wakuja tu kwenye jiji ili la Dar es Sallam ndio hawamtaki. MsituzingueBora machafuko halisi kuliko amani ya bandia mkuu.
Watu hawamtaki Mama , si awaachie Taifa lao ,kwani lazima awe yeye?
Dhuluma na uminywaji wa haki vikizidi haviwezi kuleta machafuko?!Udini ukizidi kinachofuata ni machafuko. Hivyo wewe unataka machafuko mkuu au?
Samia jana kahudhuria kongamano la dini yake na kupigiwa kampeni Wazi Wazi. Hao wako sahihi??Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Tuendelee kuuawa sababu ya maslahi ya Huyo Mstaafu na viongozi wa dini wakae kimya?Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.
Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.
Huku sio kuchanganya dini na siasa?. Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
P
Ndiyo, alishambuliwa na vibaka wa mama.Kitima kashambuliwa na Vibaka tu. Wacha kusambaza Sumu. !!
Jambo nilikuwa wazi na maelezo yalitolewa na police na viongozi wa kanisa wakafunga propaganda yao !!!
baada ya kuumbuliwa na police
Viongozi wetu wa Dini wewe kafanye Ibada mengine waachie wanyewe!!!
Tatizo lipo kwa Askofu mmoja mmoja kutoa shutuma badala ya kutumia Kamati ya usalama iliyoundwa na inayojumuisha dini zote.Dhuluma na uminywaji wa haki vikizidi haviwezi kuleta machafuko?!
Viongozi wa dini wanasisitiza awesome wa Haki ambayo itatuhakikishia Amani ya kweli. Tatizo ni lipi?!
Kwani mtu kuuawa imeanza leo? Kuuawa kupo tangu dunia ilipoubwa na watu wataendelea kuuawa mpaka mwisho wa dunia. Maana ya machafuko ni mauaji ya watu wengi na uhalibifu wa mali nyingi kwa wakati mmoja siyo kifo cha mtu mmoja moja. Be informed!!Unataka machafuko yazidi ya haya tuliyo nayo ya watu kutekwa kuuliwa na kupotezwa? Yaani mtu anatolewa kwenye gari la abiria mchana kweupe anaenda kuuliwa halafu useme hakuna machafuko?