CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Na nyie kupigania vibudu toka Makkah hadi mnatoana ngeu ndiyo Uislamu unasema hivyo?Mmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
novena ni ujingaTulia..na hii Novena ni muendelezo..mpaka maji muite MMA.
Akili za mashoga hizi.Akili za machawa hizi
Watu gani wasiomtaka mama? Mbona mitaani mambo yanaenda kama kawaida tu au wewe upo nchi gani mkuu? Hatujaona maandamano yoyote yakumkataa mama hapa TZ.Bora machafuko halisi kuliko amani ya bandia mkuu.
Watu hawamtaki Mama , si awaachie Taifa lao ,kwani lazima awe yeye?
Nimesema wapi na muda gani kuwa mauaji yamenza leo 26/8/2025?Kwani mtu kuuawa imeanza leo? Kuuawa kupo tangu dunia ilipoubwa na watu wataendelea kuuawa mpaka mwisho wa dunia. Maana ya machafuko ni mauaji ya watu wengi na uhalibifu wa mali nyingi kwa wakati mmoja siyo kifo cha mtu mmoja moja. Be informed!!
Narudia tena. Toka enzi ukicheza na utawala kinachofuata ni mateso kama siyo kifo na hii imeanza toka enzi za Ibrahimu mkuu kasome historia utapa maarifa tosha kuhusu hilo.Nimesema wapi na muda gani kuwa mauaji yamenza leo 26/8/2025?
Mtu wa kwanza kufa ni Abel lkn bado maswali yaliibuka je amekufaje?
Sasa kwa sababu yameanza tangu mwanzo hivyo watu waendelee kuuawa tu kisa anauliwa mmoja mmoja tena kwa kumkosoa mtu mmoja tu tumepoteza watu zaidi 80! Je ambao hatuwafahamu?
Wewe mbulukenge ndio huna aibuMmevuka mipaka mnaojiita watu wa mungu hasa nyie maaskofu, kiboko yenu nyie ni Mazinge tu.
Askofu mzima unasimama bila evidence unamshambulia Rais mstaafu Jakaya Kikwete, shame on you
Nadhani hapo kuna upotoshaji, ni kweli Nyerere alikuwa anashauri Rais aliyekuwa Madarakani haswa kwa mambo aliyoyaona hayako Sawa.Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.
Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.
Huku sio kuchanganya dini na siasa?. Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
P
Huna lolote wewe malyamungu wa Idd Amin mama.Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.
Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.
Huku sio kuchanganya dini na siasa?. Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
P
Sawa...novena ni ujinga
KWAHIYO TUENDELEE KUWATUKUZA WATAWALA?Narudia tena. Toka enzi ukicheza na utawala kinachofuata ni mateso kama siyo kifo na hii imeanza toka enzi za Ibrahimu mkuu kasome historia utapa maarifa tosha kuhusu hilo.