Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana .

Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
 
Tatizo ni dili dili juz kati wazir flan hv kaongeza howo 100 kwenye kampun ya mzee wangu unazan hela wanatoa wapi kama sio hukohuko nimtaje nisimtaje mpaka hapa yeye kashanijua ngoja nikatafu madereva mana nimepewa tenda ya kusimamia oya vijana kama unajiona una lesen clas e na una uzoefu wa miaka miwili barabaran njoo pm nikupe chuma za kodi yenu yamaji iwepo kama unaona natania kaa hapo hapo kijiwen endeleen kusema tajir flan mchawi mbona kaongeza zingine kumbe kodi zenu. ngoja chawaa wa baba niende zangu kukagua trailler kwa super doll nisije nikanogewa kutaja mawazi hapa kesho wakashindwa kuleta mpya wana mkasema ding kakosea masharti ya mganga
 
Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa.

Naomba tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu maana tulikotoka ni mbali na sasa tupo karibu kufika nchi ya ahadi ,mahali ambapo umeme utapatikana na kuwaka muda wote bila kuzimwa wala kukatwa na mtu yeyote yule. Nawaombeni sanaa tena sanaa tuwe na subira Ndugu zangu Watanzania.
 
Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa.

Naomba tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu maana tulikotoka ni mbali na sasa tupo karibu kufika nchi ya ahadi ,mahali ambapo umeme utapatikana na kuwaka muda wote bila kuzimwa wala kukatwa na mtu yeyote yule. Nawaombeni sanaa tena sanaa tuwe na subira Ndugu zangu Watanzania.
 
Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana .

Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo , huko Mbeya , wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo , tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri , hadi muda huu haujarejeshwa .
Muda mwingine mbeya uyole hapa inachukua 2days hakuna umeme
 
Tutaondoa Monopoly ya TANESCO tutaruhusu Makampuni yaje yawekeze kwenye Umeme.
Tatizo sio makampuni mengine. Mimi nionavyo ni kuwa hii mikataba ya kifisadi ya TANESCO tangu 1994 ndo imeisababishia matatizo TANESCO. Badala ya kufanya maendeleo shirika linatumia pesa kulipa wanasheria ambao pia kwenye kesi hawashindi na TANESCO kuishia kulipa faini. Tangu nianze kusikia ishu za TANESCO ni mabilioni kama sio matrilioni yametumika kulipia mambo yasiyohusu umeme. Kusema kuwapa makampuni ishu nyeti ya umeme ni sawa na kujiweka uchi kama nchi. Ni kuhatarisha usalama. Ufisadi wa kwenye umeme kuanzia 1994 ni wa kutisha. Wapinzani wangesaidia kukataa mikataba na sheria za hovyo kama wangeingiza wabunge wengi bungeni. Tatizo nao 2015 waliamua kumuuzia chama hayati Lowassa na kuishia kupoteza mwelekeo.
 
Kwahiyo na wewe Chawa wa Mama nae unalalamika miaka 63 na tatu ya Uhuru nilikuwa naongelea CHADEMA kitakapochukua Madaraka.
 
Tatizo ni dili dili juz kati wazir flan hv kaongeza howo 100 kwenye kampun ya mzee wangu unazan hela wanatoa wapi kama sio hukohuko nimtaje nisimtaje mpaka hapa yeye kashanijua ngoja nikatafu madereva mana nimepewa tenda ya kusimamia oya vijana kama unajiona una lesen clas e na una uzoefu wa miaka miwili barabaran njoo pm nikupe chuma za kodi yenu yamaji iwepo kama unaona natania kaa hapo hapo kijiwen endeleen kusema tajir flan mchaw mbona kaongeza tena kumbe kodi zenu, ngoja niende zangu nikakague trailler hapa
Mental patients in jamii forums
 
IMG_20240216_230740.jpg
IMG_20240216_230721.jpg
Hapa ni Mbezi hii ya Kimara mimi nipo Makabe,nimefika huku saa 20:16 nasikia ulikatwa toka saa moja.yaani tupo mjini lakini kama tupo porini na haijulikani utarudi saa ngapi na joto hili la Dar!

Bado safari ndefu.
 
Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa.

Naomba tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu maana tulikotoka ni mbali na sasa tupo karibu kufika nchi ya ahadi ,mahali ambapo umeme utapatikana na kuwaka muda wote bila kuzimwa wala kukatwa na mtu yeyote yule. Nawaombeni sanaa tena sanaa tuwe na subira Ndugu zangu Watanzania.
.
20240215_170444.jpg
 
Nakukumbusha tu Mkuu,hujaweka namba yako ya simu.
 
Back
Top Bottom