Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

Nahisi hili tatizo la umeme kama lipo kimchongo mchongo tu. Hata ikitokea huo mtambo wa JNHPP ukiwashwa ukaanza kufanya kazi bado zitatafutwa sababu kadha wa kadha ili umeme ukatike
 
Tatizo ni dili dili juz kati wazir flan hv kaongeza howo 100 kwenye kampun ya mzee wangu unazan hela wanatoa wapi kama sio hukohuko nimtaje nisimtaje mpaka hapa yeye kashanijua ngoja nikatafu madereva mana nimepewa tenda ya kusimamia oya vijana kama unajiona una lesen clas e na una uzoefu wa miaka miwili barabaran njoo pm nikupe chuma za kodi yenu yamaji iwepo kama unaona natania kaa hapo hapo kijiwen endeleen kusema tajir flan mchaw mbona kaongeza tena kumbe kodi zenu, ngoja niende zangu nikakague trailler hapa
Unaongea kama Fala
 
Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa.

Naomba tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu maana tulikotoka ni mbali na sasa tupo karibu kufika nchi ya ahadi ,mahali ambapo umeme utapatikana na kuwaka muda wote bila kuzimwa wala kukatwa na mtu yeyote yule. Nawaombeni sanaa tena sanaa tuwe na subira Ndugu zangu Watanzania.
Wewe haujawahi kuwa na akili na ulizokuwa nazo ulikozipeleka hazitokaa zirudi.

Tumewahi kukaa nchi hii 4 years permanently hakuna umeme kukatika hata masaa mawili leo umeme unakatika masaa 12 ya siku unakuja na lugha zako za kiwendawazimu hapa?
 
Kwahiyo na wewe Chawa wa Mama nae unalalamika miaka 63 na tatu ya Uhuru nilikuwa naongelea CHADEMA kitakapochukua Madaraka.
Wewe K jua kuanzia leo kuwa mimi sijawahi, sio na sitakaa niwe chawa. Mimi nimeamua tu kusapoti uongozi wa kidemokrasia wa Mama Samia. Nina kipato changu cha kunitosha bila kuwa chawa wa mtu. Isitoshe ningetaka kupita hiyo njia ya kufaidika kupitia wanasiasa nisingeshindwa kwasababu nina watu wengi mno huko. Comment yangu nimeiandika bila kuegemea upande wowote.

Kusema kwamba CHADEMA ndo kitakuja kurekebisha mambo ya umeme kikichukua madaraka ni upumbavu mwingine umeropoka. Kama wao walimweka mgombea urais mwenye kashfa kuhusu umeme unadhani walikuwa wana nia nzuri kuhusu hili tatizo? Kuna saa tuongee kizalendo sio kutegemea hawa wanasiasa.
 
Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa.

Naomba tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu maana tulikotoka ni mbali na sasa tupo karibu kufika nchi ya ahadi ,mahali ambapo umeme utapatikana na kuwaka muda wote bila kuzimwa wala kukatwa na mtu yeyote yule. Nawaombeni sanaa tena sanaa tuwe na subira Ndugu zangu Watanzania.
🚮
 
MSEMAJI WA SERIKALI...
 
Mbona Povu lote hilo?
 
Una roho ngumu sana !
 
Serikali kwa ujumla haina nidhamu kwa wananchi wake 🚮
 
Nimetafuta kilichofichwa. Sijakiona...ni Siasa tu za Kuchagiza chuki dhidi ya Shirika na Serkali.

Nimepata shauku kubwa niliposoma kichwa cha mada hii.

Kwa kweli nilitegemea kuona ni kitu gani haswa kilichofichwa kuhusu Ukosefu/kukatwa katwa kwa Umeme katika baadhi ya maeneo nchini mbali na yale tunayoelezwa/taarifiwa!

Sijaona.

Kumbe ni....

Ni siasa tu za kuchagiza chuki dhidi ya shirika na serikali.

Kwa kifupi nilitegemea kupata taarifa mpya kuhusu sakata hili.

Kweli wananchi tunaumia, lakini CHADEMA haina suluhisho.
 
Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana .

Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
Sababu ziko wazi,demand is high vs supply
-Vijiji karibu vyote Vina umeme
-Utitiri wa miradi eg Ruwasa karibu Vijiji vyote vina umeme
-Mashule mapya,zahanati na hospitals zaidi ya 20,000 Nchi nzima ni umeme
-Bado new businesses,viwanda na Huduma mbalimbali zote zinahitaji umeme.
-Migodi,mashamba kote ni umeme unahitajika.

Kiufupi Ukuaji wa Uchumi umeleta demand kubwa kushinda supply.

Harafu wenye akili ndogo wanalaumu Samia badala ya kulaumu ambao walkomaa na mradi mmja wa Julius Nyerere kana kwamba mahitaji yatakuwa yamesimama kusubiria bwawa bila kuweka miradi midogo ya kuhimili new demand.

Hali kama hii pia ikitokea awamu ya 4,Mkapa hakuweka pesa hata mia kwenye Tanesco wakati ule ilikuwa Mbioni kubinafsishwa but haikufanyuwa maamuzi ya investments Kwa miaka 4.

Anaingia JK ikaamuliwa ibakie Serikalini na ndio hapo ubinafsishaji na Uchumi ukaanza kukua Kwa Kasi na umeme hakuna ,hapo ndio majenereta yalianza huku umeme wa gas Ukiwa kwenye stage za investments kama ilivyo Sasa.

Kwa hiyo mbapolaumu muwe mnafikilia 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C3YHN5goA1P/?igsh=MW81bjV2MWNzN2ttYw==
 
Tutaondoa Monopoly ya TANESCO tutaruhusu Makampuni yaje yawekeze kwenye Umeme.
Tatizo la umeme sio la TANESCO ni la kisiasa zaidi.
Hicho unachokitaka ndio target yao wanasiasa kuwa mvumilivu tu, mengi yanakuja
 
Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa.

Naomba tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu maana tulikotoka ni mbali na sasa tupo karibu kufika nchi ya ahadi ,mahali ambapo umeme utapatikana na kuwaka muda wote bila kuzimwa wala kukatwa na mtu yeyote yule. Nawaombeni sanaa tena sanaa tuwe na subira Ndugu zangu Watanzania.
Garbage
 
Back
Top Bottom