Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

Unaongea kama Fala
lakin ndio ukwer wenyewe kama hamuelew nchi inavyokwenda bas endeleen kulia lia mtanyamaza wenyewe ila mm nimeshawastua sababu ya mgao wa umeme mana walijificha kwenye kisingizio cha jmp na uchakavu mitambo,,, wananchi mnapigwaaa watu wana dili dili zao kwenye hili suala na tena kungekuwa na chombo bora cha kuistak serikali ningeweka waz kampun zote wakubwa wanazotia mpunga ila kwakuwa mmezoea kulalama ngoja niendelee kuwa chawa wa baba tupige hela
 
Kichwa cha habari

"Kinachofichwa ni hiki"

Body

"Haijulikani chanzo ila inaonekana ni tatizo kubwa"

Jua kali sana Dar
 
Dotto nae kaangushiwa jumba bovu sema wanapenda pesa tu Mawaziri ila mambo mengi yapo nje ya uwezo wa serikali kwa ujumla.
 
Nchi hii imewahi kupitia migao ya umeme lakini huu mgao wa sasa kiboko.
Nyie si mlikuwa mnatushambulia tulipolalamika uteuzi wa January Makamba?
Yeye kakuta unawaka kaacha giza, kaharibu mfumo mzima wa zamani.

Chande ndiyo maharage kabisa yaliyo chacha pale TANESCO enzi zake, kaondoka kaacha michirizi ya uozo wa maharage(utendaji mbovu).
Tulisema tukaonya hapa tukaitwa sukuma gang.
 
Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana .

Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
Mkuu nilidhani unaijua sababu??
Kumbe mwenyewe unazungumza vitu ambavyo hujui.
 
Huwezi kusaidia nchi ya Tanzania kustawi ukiwa Rais kama utaacha baadhi ya wapumbavu waendelee kuishi.

Kifupi, ili Watanzania wapate maendeleo kuna watu wanapaswa kuuwawa na mamlaka usiku mchana au kupotezwa kabisa.
 
Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa.

Naomba tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu maana tulikotoka ni mbali na sasa tupo karibu kufika nchi ya ahadi ,mahali ambapo umeme utapatikana na kuwaka muda wote bila kuzimwa wala kukatwa na mtu yeyote yule. Nawaombeni sanaa tena sanaa tuwe na subira Ndugu zangu Watanzania.
Tuna imani kubwa na serikali yetu, tunaamini changamoto hizi zitapita kwakua serikali ipo kazin katik kutatua hilo.
(Full stop)

Siku zote watu wasio waungwana wapo kuikosoa vikali serikal pale zinapotkea changamoto kama hizi. This is wrong, watoe mawazo na ushauri sio kukejeli jitihada za serikali. Hii haikubaliki
 
Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana .

Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
Mkuu CCM imeshindwa kusimamia swala la sukari tu itaweza umeme!?
 
Tatizo la umeme sio la TANESCO ni la kisiasa zaidi.
Hicho unachokitaka ndio target yao wanasiasa kuwa mvumilivu tu, mengi yanakuja
Sijui una umri gani kama utakumbuka Shirika la Posta na Simu lilivyokuwa likitutesa kila ukitaka kupiga simu Mikoani unaambiwa LINE MBOVU mpaka uhonge.

Yaliporuhusiwa Makampuni kuja kuwekeza tulisahau KADHIA KERO.
 
Nyie kama upinzani mna kipi mbadala mtafanya tukiwapa dola!!?
Wewe ni mjinga kwelikweli...!!

Yaani jibu unalo lakini unageuza jibu kuwa swali..!!

Si wataondoa kabisa kero na shida ya umeme kama hii?

Sasa haya ni maswali madogo tu ya nyongeza kwenu nyie CCM mlio na dola. Na kama una akili kweli, hebu tupe majibu sahihi tupime kichwa chako hicho. Sitaki uanze kubweka hapa kama mbwa koko. Nataka majibu toka Kwa mtu mwenye akili!!;

✍️Kwanini mmeshindwa kuondoa shida na changamoto ya ukosefu wa umeme huku kidogo uliopo ukiwa si wa uhakika na ni wa kuwasha eneo hili huku eneo lile ukiwa umezimwa a.k.a mgawo??

✍️Nyie CCM mnafanya nini na "dola" yetu iwapo kwa miaka zaidi ya 64 tangu uhuru mmeshindwa kutatua tatizo hili moja tu ukiacha mengine mengi ya maji, afya, barabara nk nk ??

✍️Hivi kwa akili zako finyu hizo unadhani CCM wanastahili kweli kuwepo hapo kuongoza dola letu??
 
Nyie kama upinzani mna kipi mbadala mtafanya tukiwapa dola!!?
Hapa mnasahau kuwa tawala na upinzani hata milioni kumi hamfiki lakini mnataka kuwasemea na wale wasio na chama chichote...ambao ndiyo wengi ipo siku moja hqipo mbali mtashangazwa
 
Sijui una umri gani kama utakumbuka Shirika la Posta na Simu lilivyokuwa likitutesa kila ukitaka kupiga simu Mikoani unaambiwa LINE MBOVU mpaka uhonge.

Yaliporuhusiwa Makampuni kuja kuwekeza tulisahau KADHIA KERO.
Sawa,
Ila umeme na simu ni vitu viwili vyenye unyeti tofauti.
 
Back
Top Bottom