Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
swali zuriNyie kama upinzani mna kipi mbadala mtafanya tukiwapa dola!!?
Muda mwingine mbeya uyole hapa inachukua 2days hakuna umemeHaijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana .
Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo , huko Mbeya , wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo , tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri , hadi muda huu haujarejeshwa .
Tutaondoa Monopoly ya TANESCO tutaruhusu Makampuni yaje yawekeze kwenye Umeme.Nyie kama upinzani mna kipi mbadala mtafanya tukiwapa dola!!?
Dah inasikitisha sana kizazi sijui kitaadithia nini.Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa...
HILi suala tunge wauliza deep state, team mabakabaka.Nyie kama upinzani mna kipi mbadala mtafanya tukiwapa dola!!?
Achana na fikira za kizamani, sema wewe unatoa wazo gani. Kwani wapinzani ndo wanafikiri kwa niaba ya Watanganyika wengine. Au wewe sio Mtanganyika. Kwenye mambo ya msingi mahaba tuweke pembeni.Nyie kama upinzani mna kipi mbadala mtafanya tukiwapa dola!!?
Tatizo sio makampuni mengine. Mimi nionavyo ni kuwa hii mikataba ya kifisadi ya TANESCO tangu 1994 ndo imeisababishia matatizo TANESCO. Badala ya kufanya maendeleo shirika linatumia pesa kulipa wanasheria ambao pia kwenye kesi hawashindi na TANESCO kuishia kulipa faini. Tangu nianze kusikia ishu za TANESCO ni mabilioni kama sio matrilioni yametumika kulipia mambo yasiyohusu umeme. Kusema kuwapa makampuni ishu nyeti ya umeme ni sawa na kujiweka uchi kama nchi. Ni kuhatarisha usalama. Ufisadi wa kwenye umeme kuanzia 1994 ni wa kutisha. Wapinzani wangesaidia kukataa mikataba na sheria za hovyo kama wangeingiza wabunge wengi bungeni. Tatizo nao 2015 waliamua kumuuzia chama hayati Lowassa na kuishia kupoteza mwelekeo.Tutaondoa Monopoly ya TANESCO tutaruhusu Makampuni yaje yawekeze kwenye Umeme.
Kwahiyo na wewe Chawa wa Mama nae unalalamika miaka 63 na tatu ya Uhuru nilikuwa naongelea CHADEMA kitakapochukua Madaraka.Tatizo sio makampuni mengine. Mimi nionavyo ni kuwa hii mikataba ya kifisadi ya TANESCO tangu 1994 ndo imeisababishia matatizo TANESCO. Badala ya kufanya maendeleo shirika linatumia pesa kulipa wanasheria ambao pia kwenye kesi hawashindi na TANESCO kuishia kulipa faini. Tangu nianze kusikia ishu za TANESCO ni mabilioni kama sio matrilioni yametumika kulipia mambo yasiyohusu umeme. Kusema kuwapa makampuni ishu nyeti ya umeme ni sawa na kujiweka uchi kama nchi. Ni kuhatarisha usalama. Ufisadi wa kwenye umeme kuanzia 1994 ni wa kutisha. Wapinzani wangesaidia kukataa mikataba na sheria za hovyo kama wangeingiza wabunge wengi bungeni. Tatizo nao 2015 waliamua kumuuzia chama hayati Lowassa na kuishia kupoteza mwelekeo.
Mental patients in jamii forumsTatizo ni dili dili juz kati wazir flan hv kaongeza howo 100 kwenye kampun ya mzee wangu unazan hela wanatoa wapi kama sio hukohuko nimtaje nisimtaje mpaka hapa yeye kashanijua ngoja nikatafu madereva mana nimepewa tenda ya kusimamia oya vijana kama unajiona una lesen clas e na una uzoefu wa miaka miwili barabaran njoo pm nikupe chuma za kodi yenu yamaji iwepo kama unaona natania kaa hapo hapo kijiwen endeleen kusema tajir flan mchaw mbona kaongeza tena kumbe kodi zenu, ngoja niende zangu nikakague trailler hapa
Hizi ndio hoja sasa za kujibia hoja ngumu kama za umemeMabwege kama wewe wamejaa inchi hii ndio mana maendeleo hakuna
.Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa.
Naomba tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu maana tulikotoka ni mbali na sasa tupo karibu kufika nchi ya ahadi ,mahali ambapo umeme utapatikana na kuwaka muda wote bila kuzimwa wala kukatwa na mtu yeyote yule. Nawaombeni sanaa tena sanaa tuwe na subira Ndugu zangu Watanzania.
Nakukumbusha tu Mkuu,hujaweka namba yako ya simu.Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa.
Naomba tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu maana tulikotoka ni mbali na sasa tupo karibu kufika nchi ya ahadi ,mahali ambapo umeme utapatikana na kuwaka muda wote bila kuzimwa wala kukatwa na mtu yeyote yule. Nawaombeni sanaa tena sanaa tuwe na subira Ndugu zangu Watanzania.