lakin ndio ukwer wenyewe kama hamuelew nchi inavyokwenda bas endeleen kulia lia mtanyamaza wenyewe ila mm nimeshawastua sababu ya mgao wa umeme mana walijificha kwenye kisingizio cha jmp na uchakavu mitambo,,, wananchi mnapigwaaa watu wana dili dili zao kwenye hili suala na tena kungekuwa na chombo bora cha kuistak serikali ningeweka waz kampun zote wakubwa wanazotia mpunga ila kwakuwa mmezoea kulalama ngoja niendelee kuwa chawa wa baba tupige helaUnaongea kama Fala
Wewe bado CCM mpaka leo?!!!Nyie kama upinzani mna kipi mbadala mtafanya tukiwapa dola!!?
Hoja !Tatizo viongozi wa awamu hii hawajachaguliwa na wananchj
kwni ikifika 2025 watasema vip ccm zaidi ya kusema awamu iliyopita ilikuwa mbovu na ndo hiyo hiyo alikuwa samia kama kawaida yenuNyie kama upinzani mna kipi mbadala mtafanya tukiwapa dola!!?
Nyie si mlikuwa mnatushambulia tulipolalamika uteuzi wa January Makamba?Nchi hii imewahi kupitia migao ya umeme lakini huu mgao wa sasa kiboko.
Mkuu nilidhani unaijua sababu??Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana .
Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
Anasema "tatz la umem n kubwa alafu anasema sababu hazijulikani"Mabwege kama wewe wamejaa inchi hii ndio mana maendeleo hakuna
Tuna imani kubwa na serikali yetu, tunaamini changamoto hizi zitapita kwakua serikali ipo kazin katik kutatua hilo.Tulieni mambo mazuri yanakuja mtafurahi wenyewe watanzania wenzangu. Serikali ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha kuwa changamoto hii ya umeme wa mgao inafika kikomo na kuisha kabisa.
Naomba tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu maana tulikotoka ni mbali na sasa tupo karibu kufika nchi ya ahadi ,mahali ambapo umeme utapatikana na kuwaka muda wote bila kuzimwa wala kukatwa na mtu yeyote yule. Nawaombeni sanaa tena sanaa tuwe na subira Ndugu zangu Watanzania.
Tunataka tuone wanakuja na suluhisho,zama za kukosoa bila mpangokazi sisi watz sio wajinga!!kwni ikifika 2025 watasema vip ccm zaidi ya kusema awamu iliyopita ilikuwa mbovu na ndo hiyo hiyo alikuwa samia kama kawaida yenu
Mkuu CCM imeshindwa kusimamia swala la sukari tu itaweza umeme!?Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana .
Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
Mimi Bado CCM,japo siridhishwi na utendaji wa baadhi ya makada wenzangu!Wewe bado CCM mpaka leo?!!!
Sijui una umri gani kama utakumbuka Shirika la Posta na Simu lilivyokuwa likitutesa kila ukitaka kupiga simu Mikoani unaambiwa LINE MBOVU mpaka uhonge.Tatizo la umeme sio la TANESCO ni la kisiasa zaidi.
Hicho unachokitaka ndio target yao wanasiasa kuwa mvumilivu tu, mengi yanakuja
Wewe ni mjinga kwelikweli...!!Nyie kama upinzani mna kipi mbadala mtafanya tukiwapa dola!!?
Hapa mnasahau kuwa tawala na upinzani hata milioni kumi hamfiki lakini mnataka kuwasemea na wale wasio na chama chichote...ambao ndiyo wengi ipo siku moja hqipo mbali mtashangazwaNyie kama upinzani mna kipi mbadala mtafanya tukiwapa dola!!?
Sawa,Sijui una umri gani kama utakumbuka Shirika la Posta na Simu lilivyokuwa likitutesa kila ukitaka kupiga simu Mikoani unaambiwa LINE MBOVU mpaka uhonge.
Yaliporuhusiwa Makampuni kuja kuwekeza tulisahau KADHIA KERO.
Unyeti gani? Hizo zote ni huduma.Sawa,
Ila umeme na simu ni vitu viwili vyenye unyeti tofauti.